jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Wahamiaji haramuAfrica tushafungwa Moja na Wahamiaji haramu! ( Kidding)
Wahamiaji haramuAfrica tushafungwa Moja na Wahamiaji haramu! ( Kidding)
Unakumbuka ile Lyon sijui Marseille ya uefa champions league euro ilikuaga na mtu mweusi timu nzima isipokuwa captain wao golikipa.Kama mimi ili niwe mshabiki wa timu fulani lazima niangalie rangi kama weusi hata kama hawajui kucheza nitawasapoti,
Vivyo hivyo kwa soccer club za nje kama ina weusi wengi basi ndio huwa nakuwa shabiki wao
BAKDakika ya 31 bado Misri wako mbele 1-0
Egypt ipo Africa lakin Sio Waafrica!
Ishinde Cameroon!
Acha ubaguzi.
Babu ehee.. hawa cameroon wameingia wako overconfident na hilo bao ndio limewachanganya kabisa na wanachofanya kila wakifika mbele hakionekani kuleta impact zaidi ya kupiga nje na kupoteza mpira kwa urahisi.Kama wewe sio mwanamichezo uzi huu upite mbali mambo ya ubaguzi pelekeni kwenye siasa,makabila na dini zenu
We all speak football ..ndio maana mpira unapoanza macaptain hubadilishana badge zilizoandikwa no racism
Lugha ya mpira ni mmoja ,msituletee ujinga wenu
Misri wana nidhamu ya mchezo toka mwanzo wa ligi 433 yao wanakabia kwenye half yao kuziba mianya na wanatumia wings ..misri hii tofauti na ya akina abutrika ambayo ilikuwa inafanya high pressing muda wote hawa temper yao ipo slow
Cameroon kati wapo vizuri ila mbele makali hawana halafu wasitumie crosses beki za misri juu wapo vizuri ,winga yao ya kulia yupo vizuri watumie flang ya kulia vizuri...
BAK
Wewe unaona kuna dalili zozote za kubadilisha matokeo kama yanavyoonekana kwa upande wa cameroon?
Kwa kweli sijapenda matokeo yalivo kaa kwa sasa