2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

Si umeona goli la kupewa Mkono and then faulo kanyanyua mguu usoni mwa beki
Hakuna mkono pale wala faulo, mbona limerudiwa mara nyingi hajaonesha kuunawa na mguu uliiwahi kichwa cha yule beki wa egypt? Ile movement ilikuwa sawa kabisa!
 
Goli la Cameroon la pili si goli halal kwanza mchezaji aliunawa pale refaree alitakiwa apige filimbi ausimamishe and then Mchezaji alinyanyua mguu juu usawa wa uso wa beki wa Misri napo pia ni kosa refaree alitakiwa asimamishe lile ni kosa pia... hivyo Cameroon Kabebwa
Refarii wa kitanzania aliyekuwepo ktk michuano ile ni nani vile? Nadhani utakuwa ni wewe sivyo? Hongera kwa kuchezesha michuano mikubwa.
 
mwisho wa siku mbuzi umekua wewe na warabu wenzio,teh teh teh that z futiboli....
Kabla ya mafuta, waarabu walituzidi ktk hilo tu. Now, mafuta hadi Uganda, Angola, Nigeria, na humu mwetu tunayatafuta, watafute cha kujishikiria. Soon, itakuwa ndo race ya chini kupindukia duniani.
 
Naomba kujua majina ya wachezaji nane wa Cameroon waliogoma kujiunga na timu ya taifa
c4b9f635c41d6daaf9672432aeab6a7b.jpg
 
Mwafrika akimwita mhindi gabachori poa tu, yeye akiitwa nigga povu linamtoka.

Mwafrika akimwita mwarabu mwarabu koko poa tu, yeye akiitwa nigga povu linamtoka.

Tukisema Afrika for Africans poa tu, Akisema Trump America for Americans, povu linatutoka.

[HASHTAG]#SayNoToRacism[/HASHTAG]
You made my day. Racism begins with us!
 
Back
Top Bottom