Without any doubt, GOP should try their level best to defend their majority in Senate and Congress.
And if they don't, Dems can take it all. They're doing pretty good financially umeona the DNC and Hillary campaign raised almost $150 mil in the month of Aug. Money is not a guarantee to win but they're in a good position.
Trump is going to have a feast, out of this...lol
Yeah wanasema she was overheated, it was almost 90 degrees in NY.
Lakini she looked fine alipotoka kwa Chelsea.
Nadhani team Trump wako busy kupanga mkakati wa namna ya kuitumia hii episode kwa faida yao kuelekea November.
Let's wait and see the repercussion of this, but it is scary especially if this could happen again between now and November 8th.
Nadhani team Trump wako busy kupanga mkakati wa namna ya kuitumia hii episode kwa faida yao kuelekea November.
Ni kweli unavyosema it's not good for them, it's all over the place now and it's going to be "NEWS" for a couple few days. Her campaign just throw in last month's Dr's report that she's fit.
Dems are probably going to go mano a mano with it, or, another thing good thing that could happen out of this is for voters to be sympathetic with her.
Acha tu, wameisha ingia studio saa hii, we'll see a new ad about this t'morrow. 🙂
Ndiyo maana kuna mahali niliwaambia "tujiandae" kisaiokolojia!!....ila kuonekana tena masaa machache baadaye ni dalili nzuri kiasi kama asingeonekana tena kwa siku nzima, lakini haiondoi maswali chungu nzima kuhusu afya yake hasa ukitilia maanani miezi ya nyuma ilishatokea tena hii ya kutaka kuanguka na kushikwa na watu kumzuia asianguke. Lile ambalo hatukulitarajia kabisa la Trump kuchukua nchi linaweza kabisa kutokea, inatisha sana.
....ila kuonekana tena masaa machache baadaye ni dalili nzuri kiasi kama asingeonekana tena kwa siku nzima, lakini haiondoi maswali chungu nzima kuhusu afya yake hasa ukitilia maanani miezi ya nyuma ilishatokea tena hii ya kutaka kuanguka na kushikwa na watu kumzuia asianguke. Lile ambalo hatukulitarajia kabisa la Trump kuchukua nchi linaweza kabisa kutokea, inatisha sana.
...Exactly!, alivyotokea tena few hrs later probably was strategically planned.
Lakini BAK, unakumbukuka primaries za NH in 2008 when people were moved after she shed a tear, and went on to win the primary?
This is not good Yes but they can turn it around.
Kuna mtu mmoja alikuwa analalamika juzi, mpiga kura wa Republican. Akasema yaani kati ya Wamarekani 350M+ ndio tumeishia kupata hawa wagombea wawili ambao hakuna hata mwenye unafuu?.
Let's us hope for the best Kui, Trump is not a huge disaster for USA only but the whole World.
Salama kabisa.
I can see Hillary in you, yaani Hillary akitajwa nakukumbuka.
Kabla ya November nistue dawa ya Kisukuma ya kupunguza machungu. Nakunywesha mwenyewe.