Trump kaanza kuvuta makamasi
Uvutaji wa kamasi umeanza Mkuu, sikiliza vizuri.
Mama leo kaachia cylinder zote...yuko on fire balaa
HRC is on another level today WOW! Excellent performance so far.
Kishaanza kukasirika na akikasirika mafua ndiyo yanaongezeka lol!
Trump bwana! Anamlaumu Obama kuwa kafeli immigration afu apo apo anasema kadeport millions of immigrants sasa lipi ni lipi? Obama kafeli au kafanya vizuri?
...nikifikiria ni mwenyewe sikumuelewa. Plan yake mwisho wake unafanana na ya Obama.
Mpaka mda huu Trump ameshapinga mafundo manne ya maji