2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

Unamuachia nani ?
 
Daaaa me nimesanda kabisa mwaka huu tuu nilisema naacha lkn juzi nimekula nyeto hiii ni vita kali sana.... Inabidi maamuzi magumu.
Tatizo lenu mnataka kuacha mara moja. Hii kitu unaacha kwa hatua. Naweza kuelezea vizuri uzoefu wangu nilivyofanya mpaka nikashinda. Mtu umepiga nyeto tangu uko form two na leo una watoto halafu unaacha tu ghafla. No, it won't work. Otherwise utabakia tu kujiona guilty na kuumia kisaikolojia bure.
 
Ukisema unaacha sababu unaoa na umefnya kwa miaka yte hyo n ngumu...punyeto ni kma kutumia drugs Ili uache lazma ujiandae ki psychology tu.
 
wanachama wa PUNYERE vp mmefanikiwa kuachana na kujisugua?
 
aisee miaka 10 ijayo watoto zetu watakosa watu wa kuwaoa
 
Kila mwanaume anapiga punyeto.
Wala hakuna aliyeacha. Kuacha ni pale unapokufa.
 
Yuko wapi anayegombania Uenyekiti aje hapa alijuzuru nafasi inepatikana
 
ogopasana alosto ya hyo k2 ukitimiza mwaka 0-0 ni pm nnazawadiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…