Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,749
Duuh basi wewe utakuwa na mapepo mapacha ya ngono.Na nina mke,muda mwingine nategea akilala mi napiga,ila ntajitahidi niache
Exact Same Story Here.Nimejitafakari sana na kuona nahitaji mabadiliko.
Nilianza punyeto mwaka 2005 na mwaka huu mwezi wa nane nilikuwa nafikisha anniversary ya miaka 10 (decade) ya upigaji punyeto.
Nimekuwa nikisikia punyeto ina madhara, namshukuru Mungu sijapata hayo madhara maana jogoo wangu yupo imara na kina dada ninawapa dozi stahiki. Kama madhara basi ni kuchelewa kupiga bao kwakuwa nimezoea mkono mgumu lakini mbunye ni laini japo kwangu sioni kama ni madhara kwani imenifanya niwe namfikisha mpenzi wangu.
Baada ya hiyo miaka kumi (decade) ya Punyeto hivi sasa nasema bye bye Punyeto, hatutaonana tena. 2016 ni mwaka wa kuacha punyeto na 2017 ni mwaka wa kuoa.
Utawala huu wa Magufuli huko ofisini kwa moto hata hamu ya kupiga punyeto sina tena.
Mungu ni mwema
Daaaa me nimesanda kabisa mwaka huu tuu nilisema naacha lkn juzi nimekula nyeto hiii ni vita kali sana.... Inabidi maamuzi magumu.Mimi kila mwisho wa mwaka naahidi kuacha ila najikuta narudia
Pambana utashinda vita vya CHAPUTADaaaa me nimesanda kabisa mwaka huu tuu nilisema naacha lkn juzi nimekula nyeto hiii ni vita kali sana.... Inabidi maamuzi magumu.
Punyeto mi ilishaniokoa na UKIMWI. Marafiki zangu washua wao wanakwenda kula mzigo mitaani mi nashusha punyeto once or twice per week kimyaaa. Basi wakaanza kupukutika one by one. Studying group ya watu 9 tukabakia watatu. Mimi na mabinti wawili. Punyeto mi naliheshimu sana japo nilishafanikiwa kuacha!