2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

Kama lowassa vile kaacha ccm kaingia chadema. we unaacha nyeto unaingia kwenye ndoa
 
Ha ha ha punyeto ni raha kinoma niliacha miaka mitatu kabla sijaoa.
Mkuu vipi huko kwenye ndoa, kuna madhara yoyote umeyanotice kutokana na nyeto?
 
Last edited:
Nyoso hongera kwa kuacha selfie , watu kama nyie nawatafuteni kweli maana siku hizi mnanikwepa kweli , lazima mwaka huu nikupate labda utumie kondom
 
Nyoso hongera kwa kuacha selfie , watu kama nyie nawatafuteni kweli maana siku hizi mnanikwepa kweli , lazima mwaka huu nikupate labda utumie kondom
Heee aisee jamii forum kiboko ,yaani wewe ni kirusi cha ukimwi ??
 
 
duuuuh ngoja nipige ya mwisho mwezi huuu kabla na mm sijafikiria kuacha kwakweli hooh!!
 
Lol. Sasa una zoefu wa miaka kumi. Unadhani itakua rahisi?!
Kila la heri mkuu.
 
Huyu jamaa aje atupe mrejesho...
 
Usiache Sasa ivi subiri mpaka hilo dushe ligome kuamka ukiwa luzi ndani ndio utajua madhara,nnani kakwambia nyeto haina madhara??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…