2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

Miaka 10 mzee lazima utakua ushadevelop ile friction less nyeto hapoo sasa ndo hatari ,hata ukiwa umelala na mtu unaweza kupiga!!!

Those were the days.🙁😕🙄
 
Kwa miaka kumi mfululizo nilikuwa nikisema naacha naacha lakini huwa nashindwa ila mwaka huu NAACHA
 
 
10 years hakika unahitaji Tunzo ya uadilifu, Wala usiache maana inapunguza idadi ya michepuko
 
Na nina mke,muda mwingine nategea akilala mi napiga,ila ntajitahidi niache
Wakuu Deshmo na Nyoso, swala hilo ni la kawaida kwa watu wengi japo si wengi sana, ni kujaribu kulikosababisha wakajiingiza huko, ni kama kwa sasa vijana wanavyojaribu ngono za jinsia moja, dhambi mpya hiyo baada ya punyeto!
Mm nawashauri mtafakari faida na hasara za kimwili, kiroho na kijamii kwani ni jambo ambalo akili yako inahitaji strong conviction ili mwili utakapohitaji akili iwe na nguvu za kujisimamia na kukataa, nawakaribisha kwenye ulimwengu wa maalujaru!
 

Ntajitahidi sana niache mkuu
 
Halafu kwanini ukipiga punyeto nafsi inakusuta sana? Unajihisi ni mkosefu kama nini sijui
 
Halafu kwanini ukipiga punyeto nafsi inakusuta sana? Unajihisi ni mkosefu kama nini sijui
Hilo ni jambo muhimu sana mkuu kama umeshaliona, ni hatua kubwa kwako upo karibu na kuacha nyeto!
Hiyo ina maanisha kuwa you did it against yourself, na ulijikataa heshima yako mwenyewe ukajishusha kutenda jambo ambalo ungefikiria vizuri ni kinyume na wewe ungependa watu wakufahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…