2016 & 2017 Korean drama and series

2016 & 2017 Korean drama and series

Despacito

Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
77
Reaction score
163
kwa mwaka huu wa 2016/2017 Kuna series Kali za kikolea zimetoka mpaka sasa nmeona drama zifuatazo:: legend of blue sea, suspicious partner, missing nine, the Rebel, moon lovers, fight my way na my sassy girl na napenda zaid kujua wenzang wanaopenda hizi series za kikorea je ni series gan nyingine kali hasa zenye action, comedy au love story kali... dondosha jina la series yako kali hapa za kuanzia mwaka 2015-2017
 
Kaangalie descendants of the sun..
Hii kitu ni kali kupita maelezo..
Ina action,mapenzi ,comedy na kila kitu kinachohitajika kwenye series kuifanya iwe nzuri
 
Mwenye series ya Athena na Empress Chunchu anisaidie
 
kwa mwaka huu wa 2016/2017 Kuna series Kali za kikolea zimetoka mpaka sasa nmeona drama zifuatazo:: legend of blue sea, suspicious partner, missing nine, the Rebel, moon lovers, fight my way na my sassy girl na napenda zaid kujua wenzang wanaopenda hizi series za kikorea je ni series gan nyingine kali hasa zenye action, comedy au love story kali... dondosha jina la series yako kali hapa za kuanzia mwaka 2015-2017
Rrrrrp
 
  1. Ruler - Master Of The Mask
  2. Rebel - Thief Of The People
  3. What Happens To My Family
  4. Flower In Prison
  5. Hwarang
  6. Shine Or Go Crazy (Ndo naicheki)
  7. Strong Woman (Ndo naicheki)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom