Lengo kuu kwangu mwaka huu ulikuwa ni kuoa....nashukuru Mungu nmetimiza nmefunga ndoa..
next year,, nna malengo mkuu mawili.
1: Kuanzisha mradi/biashara kwa ajili ya familia yangu
2: kununua kiwanja na kuanza ujenzi mdogomdogo..
Kwake yeye kila jambo linawezekana....Mungu Mkuu
Nilitaka kuacha pombe lakini mpaka sasa zimebaki week mbili sijafanikiwa katika hilo. Hope mwakani mambo yatakuwa safi...
Asante, ngoja nimalize mwaka kwa ulevi na mihangover ila mwakani mambo haya hayatojirudia.Hahahaa this is funny...pole
Japo NA changamoto zake nyingi, malengo yanatimia kuoa mke wanne....
Mwaka si mbaya sana, kwa upande wangu ulinikalia vibaya sana maana kila nilichojaribu niliporomoka!! Ila mwaka umekuwa mzuri sana kwa mke wangu, yeye mafanikio tele so nasafiria nyota yake mwaka huu!!
Naamini mwaka ujao utakuwa wangu sasa
Mwaka bado haujaisha ila kama ukiisha nampango wa kuvuta jiko mwakani
Lengo kuu kwangu mwaka huu ulikuwa ni kuoa....nashukuru Mungu nmetimiza nmefunga ndoa..
next year,, nna malengo mkuu mawili.
1: Kuanzisha mradi/biashara kwa ajili ya familia yangu
2: kununua kiwanja na kuanza ujenzi mdogomdogo..
Kwake yeye kila jambo linawezekana....Mungu Mkuu
ktk mwaka 2015, ninamshukuru Mungu Nimeweza Kuwahubiria Watu Wengi Hasa Kupitia Mitandio Jf Na Fb.
2016 Mchungaji Ndio Natarajia Kufunga Ndoa Hapo Tarehe 20 August, Ktk Ukumbi Wa Center K2. Karibuni Sana. Mungu Awabariki Kwa Jina La Yesu Kristo.Amen
Kila la kheri kaka Illovo. Naipenda kazi yako ya kutukumbusha, kamwe usichoke wala kukata tamaa katika kazi yako.
Kila la kheri katika ndoa yako. Ubarikiwe upate mke mwema.