badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
Hi wana Jf
Kama mjuavyo mwaka ndo unayoyoma kuisha hivoo.....msimu wa sikukuu mwaka ndo ushakata hivoo,
Leo tushare mwaka huu ulikuaje kwako,
Yapi mazuri,Yapi mabaya,ulipanga nini?umefanikiwa au la,kwa kiasi gani,na umejipangaje kwa next year 2016
Mie nashukuru kando ya shida nyingi za mahusiano,mwaka umeenda vzuri sana kifamilia, kikazi, kiafya na kiroho. Yani am happy so far, nilijitahidi kadri niwezavyo,Naamini 2016 ni bonge la mwaka kwangu Insha Allah,nmejipanga kwa mengi naamini yatatimia,
Wewe je??