2015: Ubunge kupitia CUF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2015: Ubunge kupitia CUF?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Topical, Dec 14, 2010.

 1. T

  Topical JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwanamageuzi wa siku nyingi napenda kugombea ubunge kupitia CUF mwaka 2015 jimbo moja mkoani manyara, vipi uungwaji wa CUF huko na mikakati gani natakiwa kufanya kuanzia sasa?

  Tuache jokes niko serious!
   
 2. K

  Kipre tchetche JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama wewe ni mwana mageuzi kwanini
  uulize hali ya Kule unapenda kutengenezewa
  njia kwa nini usiingie bila woga mwenyewe?
  Na kwanza umejiunga na ccm lenu moja
  hofu ya nini? Njoo upambane kwa nguvu ya
  hoja na uje umejipanga sio lele mama huku.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kipre, kujipanga kunaanzia kwa kukudodosa ili wenye ufahamu wa hali ya siasa za huko hasa za upinzani wanijuze...
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,935
  Likes Received: 12,203
  Trophy Points: 280
  Ushauri wa bure kwanza andaa kanzu nyingi na vibandiko next uanze kuhudhuria madrasa kama bado.
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushauri wako, ila una harufu ya udini vile....
  Natafuta ubunge siyo kuwa imam wa msikiti..
   
 6. K

  Kipre tchetche JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Topical Mimi nikushauri Kama unaweza
  kusoma matatizo ya msingi yanayolikabiri
  taifa na mahali unapotaka kugombea na
  kwamba unauwezo wa kujenga hoja za
  kiushindani na kwamba unasukumwa na
  umasikini wa mtz nenda bila hofu kalitum
  ikie taifa .
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Always Qunine write pumba. Ushauri wa bure, think twice before writting, unafikiria ukristo tu na kutukana wenzako unaona dili sana tu, kraize!
  We unaetaka kwenda kugombea ubunge huko babati wakati hata hujui matatizo ya huko na sasa unaulizia kupia mtandao? kwa nii usigombee hapo ulipo ambapo unajua matatizo yao? Nashindwa pia kukufananisha na Qunine, Nawe piani kraize!
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kujua matatizo najua mkuu lakini nafahamu pia JF ni source nzuri ya ku-share information..naweza kupata chochote ambacho kitawafaa watu wetu na demokrasia kwa ujumla
   
 9. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwa sasa una fanya shughuli gani? Meaning kama wewe ni mfanyabiashara au una kisomo katika kitu fulani.
  Kama wewe ni mfanyabiashara nashauri uwa tumikie hao unao taka kuwa tumikia kupitia ubunge kwa kuwekeza biashara zako jimboni humu. Trust me utakuwa more effective kuliko kuwa mbunge kwa sababu uta toa ajira na hauta fungwa na itikadi na misimamo ya kichama. Pia pesa uta weza kuzi wekeza utakavyo wewe.
  Kama una profession yako pia nakushauri utafute njia ya kuwa tumikia wananchi kupitia profession yako kama ina wezekana.

  Nasema hivi kwa sababu siku hizi kila mtu ana fikiri kutumikia wananchi ni ubunge tu. Na pia I'm sorry to say wengi wa wanao tafuta ubunge wana tafuta jinsi ya kutoka kimaisha kwa kutumia mgongo wa "kuwa tumikia wananchi."

  Kwa hiyo kabla huja gombea hebu jiulize. Je nagombea kuwa tumikia wananchi au kuji tumikia mwenyewe? Na kama nia ni kuwa tumikia wananchi jiulize je kuna njia nyingine ya kuwa tumikia wananchi zaidi ya ubunge? Fanya self reflection kwanza.
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Hiyo thanks ni kwa hii"
  We unaetaka kwenda kugombea ubunge huko babati wakati hata hujui matatizo ya huko na sasa unaulizia kupia mtandao? kwa nii usigombee hapo ulipo ambapo unajua matatizo yao? ....... Nawe piani kraize! "
   
 11. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tuache jokes niko serious![/QUOTE]

  I think you are joking!!!

  Unataka kugombea ubunge halafu hujui hali ya kisiasa ya jimbo unalotaka kugombea? This is a big joke!
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa ushauri wako, ubunge ni njia nyepesi zaidi kuwatumikia wananchi as long as unaweza ku mobilize watu watumie resorces zao na za nchi kwa njia nzuri..na hii si kwamba nadharau juhudi za mtu moja moja
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapana ndugu matatizo ya Tanzania yanajulikana kila mahali, isipokuwa nilipenda kufahamu uhai wa chama katika maeneo hayo na challenges ambazo ningeweza kuzipata kwa wanaozifahamu na wanaopenda ku-share nami.
   
Loading...