2015 ni vyema wafuatao wakajiondoa ktk vinyang'anyiro vya ubunge...!

Wengine ni Nyambari Nyangwine wa Tarime,Haji Mponda wa Ulanga magharibi,Abdul Mteketa wa Ifakara, Musa Zungu wa Ilala,Eugine Mwaiposa wa Ukonga, na wengineo kibao hawatakiwi kurudi bunge lijalo.
 
20.John Cheyo
21.Andrew chenge
22.peter Serukamba
23. Beatrice Shelukindo
24. Anna Abdallah
25. Mch.Getrude Lwakatale
26. Mch.Luckson Mwanjale
27. Albert Ntabaliba a.k.a obama
28. Christopher ole sendeka
29. Asumpta mshama
30. Samwel Sita
31.....

nikitiza hi list ndo naona ili swala linaweza likawa gumu kutekelezeka !
 
Au mmeamua kuwasema tu watu hapa? kuweni na subira 2015 siyo mbali kila mtu atafanya anachotaka jimboni kwake na siyo ku generalise hapa. Kumbukeni kuwa wengine mnaowataja wanakubalika katika majimbo yao na ikumbukwe kuwa majimbo mengi waliyoyapoteza CCM mwaka 2010 ni kwa makosa ya kuweka watu wasio kubalika na sijui kama watafanya makosa hayo tena mwaka 2015.


vijana wapewe nafasi zaidi huko kwingne wala hatuna noma
 
mwingine kwenye orodha hiyo ni
a.wenje wa mwanza akagombee kwao ujaruoni
b. highness arudi uchagani
c.zitto kabwa agombee urais
d. steiven masele ni bogus kuliko wabunge wote ndani ya bunge
e.mpina wa kisesa, ampishe tumbo w
 
Wengine ni Nyambari Nyangwine wa Tarime,Haji Mponda wa Ulanga magharibi,Abdul Mteketa wa Ifakara, Musa Zungu wa Ilala,Eugine Mwaiposa wa Ukonga, na wengineo kibao hawatakiwi kurudi bunge lijalo.

huyo mama mwaiposa katiba ingeonesha jinsi ya kumtoa mb. Mzembe ningeanza naye kwa ghalama yoyote !!!
Mponda atoke sasa sio asigombee tena
 
YESU RUWA OOMANDEDEE nilimsahau huyu maudenda msee wa kiraracha (55.)AGUSTINO LYATONGA MREMA
 
mwingine kwenye orodha hiyo ni
a.wenje wa mwanza akagombee kwao ujaruoni
b. highness arudi uchagani
c.zitto kabwa agombee urais
d. steiven masele ni bogus kuliko wabunge wote ndani ya bunge
e.mpina wa kisesa, ampishe tumbo w

Akigombea Urais CDM wamepoteza kura yangu na za wote ninaoweza kuwashawishi wasiipigie kura ya urais.
 
namba 15. Sawa mbona wengne bado vijana !

kumbuka kuwa mnapotaka kufanya mabadiliko kuanzia ngazi ya chini. Kwa jimbo la mahenge cdm bado hawajajijenga vya kutosha. Nilitegemea baada ya 2010 kungekuwa na mipango ya kuendelea kukusanya wanachama lakini haijawa hivyo. Ccm wako kwenye kampeni za uchaguzi na kuna mvurugano wa kukigawa chama. Umesikia wanaotaka kugombea? Kuna wengine ni kambi ya mbunge hivyo anatengeneza namna ya kupita tena.
 
kwa upande wa ndesa napingana na wewe kuwa ni mroho wa madaraka alichokifanya Moshi kitabaki historia kwa vizazi na vizazi, naimani 2015 hatogombea tena atamwachia kijana JAFARY ambaye anakubalika sana.

yasije yakamtokea ya kibajaji na j4 huko Mtera. 'kijana subiri tena kidogo awamu hii, sawa eeh?'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom