2015 ni vyema wafuatao wakajiondoa ktk vinyang'anyiro vya ubunge...!

Mimi Ushauri wangu uende ukagombee wewe na pi umshauri Mwenyekiti wako MBOWE na DR Slaa watoke kwenye uongozi wa juu wabakie kama washauri tuu wa chama maana ubabe wao uanakimaliza chama chenu kilichojaa ukabila na ubaguzi wa hali ya juu kabisa
salamu kwenu wana jf !
Nimekaa na kutafakali nimegundua kuna watu wana uroho wa madaraka na itakuwa kawaida sana kuona bunge letu likikosa mabadiliko kila baada ya miaka 5, hivyo nimeona ni vyema kupitia jf hawa viongozi wa vyama watambue kama watapenda kulinda majimbo yao ni vyema wafuatao wasisimamishwe tena ktk kugombea ubunge:-
1. dr. Mahenge
2. steven wasira
3. Makinda
4.ndesambulo
5.mrema
6.cheyo
7.pinda
8...........
9............
10.........
11..........

Unaweza kuongeza wengne pia.
Kwanini nimewapoint hawa !
Kwakweli kwa hali ya nchi ilivyo sasa ni vyema taifa likapata vijana ambao ndio nguvu kazi sina maana kwamba wazee hawafai la hasha lakini nikimtizama mbunge wangu dr. Mahenge huwa napata wasi wasi u dr alipataje !!!
Nawasilisha.
 
20.Dr.Festus Limbu

u guys from mbeya have alot of problems especially u coz we understand u want to contest but very unfortunate u dont have the political calibre,u being just used by other groups unknowingly unwachafua ndugu zako kwa kudanganywa na kina manywele,watch out my dear,hivi wewe na mary mwanjelwa tukiwapa jukwaa utaongee nini enedelea tu na kazi yako
 
Wote uliowataja wasipoingia bungeni 'nakata gogo' mezani kuu ya ikulu.
unamaanisha hivi

log-cutting-1.jpg
 
Mimi Ushauri wangu uende ukagombee wewe na pi umshauri Mwenyekiti wako MBOWE na DR Slaa watoke kwenye uongozi wa juu wabakie kama washauri tuu wa chama maana ubabe wao uanakimaliza chama chenu kilichojaa ukabila na ubaguzi wa hali ya juu kabisa
Kama si chama chako kinakuuma nini?
Si adui mwombee njaaa au?
 
Mimi Ushauri wangu uende ukagombee wewe na pi umshauri Mwenyekiti wako MBOWE na DR Slaa watoke kwenye uongozi wa juu wabakie kama washauri tuu wa chama maana ubabe wao uanakimaliza chama chenu kilichojaa ukabila na ubaguzi wa hali ya juu kabisa

tatizo mi sina hobbie ya ubunge halafu aliyekwambia mi mwanachama wa huko ni nani !
 
Huyu Chana unayesema anajitahidi kwa vipi au kwa vile shosti wako? Dr.Mahenge amefanya kazi kubwa sana Makete kuliko wewe ungekuwa mbunge!! Mimi namuongeza Anna Abdalla na Hilda Ngoye.
 
Huyu Chana unayesema anajitahidi kwa vipi au kwa vile shosti wako? Dr.Mahenge amefanya kazi kubwa sana Makete kuliko wewe ungekuwa mbunge!! Mimi namuongeza Anna Abdalla na Hilda Ngoye.

hata washikaji wa mr. Buluu huwa wanashangaa wakiambiwa mwenzao ana mapozi !
Bulesi unajivunia lipi kwa jamaa mwambie term hii matamba hatudanganyiki kwa kitenge na tshrt !
 
salamu kwenu wana jf !
Nimekaa na kutafakali nimegundua kuna watu wana uroho wa madaraka na itakuwa kawaida sana kuona bunge letu likikosa mabadiliko kila baada ya miaka 5, hivyo nimeona ni vyema kupitia jf hawa viongozi wa vyama watambue kama watapenda kulinda majimbo yao ni vyema wafuatao wasisimamishwe tena ktk kugombea ubunge:-
1. dr. Mahenge
2. steven wasira
3. Makinda
4.ndesambulo
5.mrema
6.cheyo
7.pinda
8...........
9............
10.........
11..........

Unaweza kuongeza wengne pia.
Kwanini nimewapoint hawa !
Kwakweli kwa hali ya nchi ilivyo sasa ni vyema taifa likapata vijana ambao ndio nguvu kazi sina maana kwamba wazee hawafai la hasha lakini nikimtizama mbunge wangu dr. Mahenge huwa napata wasi wasi u dr alipataje !!!
Nawasilisha.
Hapana uchaguzi wako si sahihi na hujaweka vigezo vya muhimu ambavyo vinaonyesha hawafai jaribu kuangalia wengine mbona wako wengi sana na wanatuhuma nzito!
 
wapiga kura ndi0 waamuzi. ni vigumu wana f kusema waondolewe halafu ikawa hivo
 
mwingine kwenye orodha hiyo ni
a.wenje wa mwanza akagombee kwao ujaruoni
b. highness arudi uchagani
c.zitto kabwa agombee urais
d. steiven masele ni bogus kuliko wabunge wote ndani ya bunge
e.mpina wa kisesa, ampishe tumbo w[/QUOTE
Usizungumzie urais bro, raisi wetu ajae anajulikana na kila mtu, Ni doctor wa ukweli, WIL SLAA
Waziri mkuu ni FREEMAN MBOWE
Mwanasheria mkuu TINDU LISU
Waziri wa mambo ya ndani GOD LEMA
Makamu wa rais JOHN MNYIKA
Mambo ya nje ZITO KABWE
 
Raisi wetu ajae ni DR W. SLAA
Makamu wake ni JOHN MNYIKA
Waziri mkuu FREEMAN MBOWE
Wizara ya mambo ya ndani, GOD LEMA
Mwanasheria mkuu TINDU LISU
Wizara ya mambo ya nje ZITO KABWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom