Hawa magamba ni wa kuwatupilia mbali tena sana!
Kuna yule mwingine wa Wilaya ya Arumeru/Magharibi naye ni janga kubwa sana kwa Taifa hili na kwa Wanainchi wake,Huyo kwenye wilaya yake Wanainchi wanalaani wemempaga kura ya nini.
Na nafikiri kuna Ndg anamalizia chuo na amehakiki baada ya hapo ni kuwanusuru Wanainchi wake kwa udi na uvumba.
sisiem ni janga kwa wanainchi!
wana bodi naomba mnishauli kuhusu jimbo la huyu jamaa, napanga kulichukua 2015 CDM.... nifanyenini? n.k

hlo chukua mimi namaliza chuo mwaka kesho najipanga kuchukua jmbo na bwna maige hatuwez kuwa na madini na raslimal watu na ardhi afu tuish kwnye lile janga la umackin me mdogo lakn niko tofaut kidogo ntalichukua kupitia ccm akinichakachua napesa zake za kifisad narud nyumban cdm.

Hivi unazani tatizo ni mtu au chama? Ni kipi CCM ya Maige imeshindwa kufanya ambacho CCM yako itakiweza? Kumbe ni gamba type? Huna jipya, unatambua fika kabisa kwamba CCM sio nyumbani kwa nini uishi maisha ya mwanampotevu? Bado hujiamini na huamini ktk M4C. Anza upya!hlo chukua mimi namaliza chuo mwaka kesho najipanga kuchukua jmbo na bwna maige hatuwez kuwa na madini na raslimal watu na ardhi afu tuish kwnye lile janga la umackin me mdogo lakn niko tofaut kidogo ntalichukua kupitia ccm akinichakachua napesa zake za kifisad narud nyumban cdm.