cute datty JF-Expert Member Joined Jul 11, 2014 Posts 582 Reaction score 277 Sep 11, 2014 #101 ifweero said: Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki... Click to expand... Yaani hizo ni dalili za uwoga uliopitiliza,tunaiita election fever subiri hiyo 2015 uone utakavobadilisha ID kwa aibu.
ifweero said: Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki... Click to expand... Yaani hizo ni dalili za uwoga uliopitiliza,tunaiita election fever subiri hiyo 2015 uone utakavobadilisha ID kwa aibu.
T tenende JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 6,511 Reaction score 506 Sep 11, 2014 #102 mkafrend said: Ukurasa wa ufahamu wako umejifunga! Funguka Kitila, Mwigamba na ACT si wabunge! Click to expand... Mchange na Mtela ni wabunge?
mkafrend said: Ukurasa wa ufahamu wako umejifunga! Funguka Kitila, Mwigamba na ACT si wabunge! Click to expand... Mchange na Mtela ni wabunge?
Toosweet JF-Expert Member Joined May 27, 2012 Posts 2,140 Reaction score 1,983 Sep 11, 2014 #103 pole sana,huu ni mwaka 2014