2014: Ili kupata comment nyingi.

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,306
6,514
Heri ya mwaka mpya wakuu....mwaka ulioisha nilipost baadhi ya habari au matukio, wadau wakaishia kutazama tu....je nifanyaje kwa mwaka huu mpya ili kuwashawishi wadau watazame na kuchangia vya kutosha mada ninazotaraji kubandika?
 
Ziwe na mashiko, kama ni kichekesho kweli kichekeshe, kama ni tukio liwe siyo la kutunga na kama bi hadithi iwe inafundisha na kusisimua.
 
usiwe na papara ukipatwa na tukio la ukweli watu watachangia sana,vistori vya kutunga ili upate wachangiaji watu wanavistukia siku hizi
 
Back
Top Bottom