Labda Le mutuz atateuliwa kuziba hiyo nafasi
Ni sahihi kabisa, Pale Makao
Makuu kiongozi mwenye busara na asiye na tamaa na mitandao ya uifsadi na
ujambazi na anafaa kuwa IGP ni SIMON SIRO, ni mchapa kazi mzuri, elimu
nzuri na mwenye busara ya ajabu na kama JK anataka kuweka legacy nzuri
kwenye jeshi la polisi ni kumteua Siro kuwa IGP na atamsaidia yeye na
Tanzania yetu dhidi ya majambazi.Ingawa ndani ya jeshi la polisi kuna
mitandao ya ajabu ikiwa na ukabila,undugu na umafia SIRO ni chaguo bora
kwa sasa kwa Watz.
Kweli ulichosema, lakini jamaa hana kazi, na anajaribu kujionesha ili magogoni wamwoneMkuu akili za Le Mutuz mbona ataua Raia wote.Kama hata kutoa hoja hawezi si itakuwa balaa.
Ni sahihi kabisa, Pale Makao Makuu kiongozi mwenye busara na asiye na tamaa na mitandao ya uifsadi na ujambazi na anafaa kuwa IGP ni SIMON SIRO, ni mchapa kazi mzuri, elimu nzuri na mwenye busara ya ajabu na kama JK anataka kuweka legacy nzuri kwenye jeshi la polisi ni kumteua Siro kuwa IGP na atamsaidia yeye na Tanzania yetu dhidi ya majambazi.Ingawa ndani ya jeshi la polisi kuna mitandao ya ajabu ikiwa na ukabila,undugu na umafia SIRO ni chaguo bora kwa sasa kwa Watz.

Kwa kweli Nyakoro Siro hata mimi namkubali
Tiririka nafasi alizopitia ndani ya jeshi la polisi na mikoa aliyo pitia kama RPC
Labda Le mutuz atateuliwa kuziba hiyo nafasi
Ni sahihi kabisa, Pale Makao Makuu kiongozi mwenye busara na asiye na tamaa na mitandao ya uifsadi na ujambazi na anafaa kuwa IGP ni SIMON SIRO, ni mchapa kazi mzuri, elimu nzuri na mwenye busara ya ajabu na kama JK anataka kuweka legacy nzuri kwenye jeshi la polisi ni kumteua Siro kuwa IGP na atamsaidia yeye na Tanzania yetu dhidi ya majambazi.Ingawa ndani ya jeshi la polisi kuna mitandao ya ajabu ikiwa na ukabila,undugu na umafia SIRO ni chaguo bora kwa sasa kwa Watz.
Mwema haondoki mpaka 2015!