Hii series ni ngumu sana kwa heat, maana spurs ndio mwenye home court advantage na series zote heat anashindia home game...
Leo Heat amefungwa nyumbani kwake na akijichanganya tu aka loose na game 2 tena kwake, series itakuwa imeshaisha maana sizani kama ataenda ku survive game 4 zote zitazopigwa texas
miami ndio mwenye home court advantage..... lkn kwa kufungwa leo kaipoteza.....game 4 zinachezwa miami 3 zinachezwa san antonio......miami lazima aibe game at least moja away.......
Tony Parker ametajwa mara 1303 per HRS...
Wakati Lebron James ametajwa mara 629 per HRS...
Uzee wa Sokwe ni tofauti na ujana wa Nyani.
Go Spurs Go...
Hata Mie najiuliza Kama wewe mkuu, Miami heat wakipoteza na ya pili ujue wasahau , Spurs nitimu yenye nizamu sana wana Coach mzoefu na Duncan hata afunge macho anamjua Parker wapi ampe maziwa na Parker anajuwa wapi kuna maji asijekuyaoga anaruka tu ila kuna player wachache wakipigwa game 1 hurudi kwa moto ni Jordan then Kobe na Lebron mmoja wao tuone itakuwa je?Kwa nini mara nyingi Heat huwa wanapoteza game 1
Na tatu zao watatosha tu. Lets go el Heat/Babu Parker rahaa tu, Green leo anachoma tatu tatu tu
Kaka inaonesha huikubali kabisa Miami, hata wakimzuia Chalmers yupo Ray Ray atachoma tu 3.Spurs waanze kupiga zile 3 tatu na ka charlmer wakazuie hapa Parker na Manu wakiamka ndio patakuwa patamu Spurs waonyeshe HEAT Basic Basketball inavyochezwa hakuna kuremba.
Na tatu zao watatosha tu. Lets go el Heat/
Spurs waanze kupiga zile 3 tatu na ka charlmer wakazuie hapa Parker na Manu wakiamka ndio patakuwa patamu Spurs waonyeshe HEAT Basic Basketball inavyochezwa hakuna kuremba.
Duh kweli kichapo is a possible event, maana maturn-over yameanza na hakuna mtu anacheza vizuri/Kibano hapa kwenu kipo palepale maoyaoya wa Miami
Kaka inaonesha huikubali kabisa Miami, hata wakimzuia Chalmers yupo Ray Ray atachoma tu 3.