Mkuu Ogah, Spurs walikuwa wamalize kelele hame 6.Ninarudia aliyeikoa Miami ni Ray Alan wala siyo Lebron. Lebron impact yake haikuwa na nguvu sana ndiyo maana ilikwenda gane 7 tena kwa kuunga na kamba.Kama ningeulizwa MVP ningesema Ray. 5.9 ndiyo iliokoa jahaziMkuu Nguruvi3 .......yaani nimecheka sana baada ya kuona maoni yako hapo juu.....kwa kifupi leo sikwenda kupiga boksi.......kwani South Beach kulichanganya ile mbaya.......Wape Heat Credit Mkuu.......kweli unaweza kudhani CB anatoka kapa kwenye mchezo kama ile game 7??!!.......ile strategy ilikuwa kali.......all that been said......game iliyonisisimua zaidi ilikuwa game 6.......na kuona CB akishirikiana vema na RA kuiwezesha Heat!........Jana mwendo ilikuwa vijiko na vikaangizo pamoja na mambo kama hayahttps://www.youtube.com/watch?v=eSQCUdi4PlQ......hapo unaambiwa furahia maisha Mkuu......
Mkuu Ogah, Spurs walikuwa wamalize kelele hame 6.Ninarudia aliyeikoa Miami ni Ray Alan wala siyo Lebron. Lebron impact yake haikuwa na nguvu sana ndiyo maana ilikwenda gane 7 tena kwa kuunga na kamba.Kama ningeulizwa MVP ningesema Ray. 5.9 ndiyo iliokoa jahazi
Spurs walikuwa na upper hand, Papovic akamtoa Timmy pale ndipo kosa lilipofanyika.
I hate Miami kwasababu ina wachezaji wote lakini bado haionyeshi kama timu ya kuogopwa.
Nakuhakikishia mwaka huu ndio wa mwisho.
Lebron alipokuwa Clev alishindwa hadi amepigwa jeki tatu kubwa Wade aliyekuwa na ring tayari, Ray ana ring na Bosh.
Huku kuna dogo Chalmers. Hapo ndipo Lebron anaweza kucheza vinginevyo huwezi kumweka katika daraja la akina MJ,Stockton, Russel, Karim, Magic, Backley, Reggie ambaye tayari ni hall.
Lebron ni kipenzi cha media na kuna Lebronimania. Mbaya sana ana nyodo sana akiungana na akina Wade.
I hate them, I would rather be hater.