2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class

320i ya BMW atleast uchukue ya kabla ya 2007 au baada ya 2015 kama pesa ipo.

Kuanzia 2008 mpaka 2014 ukichukua 320i, ukajichongee kabisa na jeneza. N43 engines na N20 engines ni majanga makubwa.

C200 kwa 2010 inakuja na M271 ikiwa na Supercharger kikubwa tu hiyo M271 iwe ni KE18ML na siyo DE18ML

Although pia nayo ina shida kwenye timing chain kama zilivyo engine nyingi za European Makers.

Kila la heri.
Mkuu kwa Benz unshauri ipi ndio affordable kwa mazingira yetu, ufundi nk.
 
Wewe jamaa upo serious? Unavyosema hakuna Benz wala BMW umeunganisha na S Class na 7 series humo ndani sio? Hebu kuwa serious usianze kufananisha wajerumani na crown ndg
Nimeongelea comfortability tu sio prestige wala durability,mjapani yuko vizuri kwenye comfortability amini usiamini,ukipanda VX V 8 lile la samia ni kama uko peponi,hakuna gari ya mzungu inaifikia kwa comfortability
 
Vp Mercedes anayotembelea Rais wa North Korea, limousines n.k? Ukitaja level za magari ya Marais bado Europeans wanawakalisha Wajapan. Hata hizo V8 kwa Mercedes G wagon Brabus zinakaa vzr sn. Wajerumani mnisamehe kwa kuikosea heshima Brabus kuilinganisha na v8
 
Hii kusema comfortability ya Mercie haiifikii Crown unatafuta ugomvi na Wajerumani halafu mimi mwenyewe sijakuelewa hapo labda unieleweshe zaidi
Crown royal na mark x zina smooth and comfortable riding kwa sababu ya kuwa V6 Engine ambayo ina CC kubwa kulinganisha na uzito wa gari hivyo engine haisumbuki sana kusukuma gari hata kwenye mlima mkali. Crown athlete na mark x sport hazina comfortable riding kwa sababu suspension zake ni stiff kwa ajili ya kuwa na stability control hasa kwenye kona kali, rapid braking na kufanya drifting.

Mercedes benz na bmw zilizo chini ya cc3000 hazina comfort ride licha ya kuwa reliable. Utasikia muunguruma wa engine kwenye gas pedal hasa unapolazimisha gari ku-pick up maxim speed haraka wakati horse power yake iko chini. Kiufupi bmw na Mercedes zenye comfortable riding ni zile zenye engine kubwa ambazo baadhi yetu hatuwezi kuzimiliki.

Utofauti wa hizi bmw na Mercedes za kawaida ni kwamba zimetengenezwa kwa expensive parts compared to crown and mark x.
 
Asante kwa elimu nzuri Mbute Marebhwa Maghoche. Vp tukiachana na comfortability, kipengele gani kingine unaweza kulinganisha Germany machines na hizi Crown na Mark x?
 
Hizo engines ulizozitaja zimekuja miaka ya 2010+..
Engines za nyuma ya hapo ni hit n miss..!!!!???
M30 aka Big Six
M50
M60
M54
M57
S38
S50/52
Itakuwa huzifahamu engines za BMW..!
Hiyo M57 ni one of the best engine BMW wamewahi kuunda.

Hata kuipata gari yenye engine kama hiyo inauzwa mtandaoni utatafuta sana. Wazungu wameshaziona ni dili.
 
Hiyo M57 ni one of the best engine BMW wamewahi kuunda.

Hata kuipata gari yenye engine kama hiyo inauzwa mtandaoni utatafuta sana. Wazungu wameshaziona ni dili.
Yes kwenye upande wa Diesel hiyo M57 ni hatari.. Jinsi walivyozipangilia turbo zake 2 ndio hatari zaidi..
Pia wametumia heavy-duty turbos..!

Kwenye Petrol kuna hiyo M30 big six..ndio BMW alipotengeneza jina kwenye soko la inline 6..Old school engine.. M30b35!!nguvu ya Mjerumani reliability ya Mjapani..!
 
Back
Top Bottom