watanzania bwana kwa kulalamika tu hawajambo! chukueni hatua sio kila siku kwenye mitandao mnajadili then mnaishia kunyamaza .....mbona wenzenu wa misri tunisia na kwingineko wameweza.......acheni maneno kama wanasiasa wenu wake up and take action......
hela za upuuzi huu ziko ila za kuboresha huduma za afya hakunaNa serikali haiwezi kuacha kutafuta njia mbadala ya kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma kwa sasa wakati madaktari hawajachoka kugoma.tena ikibidi waingie mkataba na makampuni yenye mahosptali huko india ili waendeshe hospital zetu za rufaa.
Priority ndio udhaifu wa serikali hii, you buy 30 shangingi instead of 30 ct scanners!
Basi waimarishe hata huduma za hospitali kama kununua vifaa lbd itawashusha madaktri maana na hilo ni mojawapo ya madai yao! Kwa hilo naanza kuhisi kuwa kuna kitu wanatumia kufikiri tofauti na akili, ina maana hapo ndo wamefikia mwisho wa ubunifu wa solutions?Bilioni 200 haitoshi kuwalipa madaktari ule mshahara wa milioni tatu na nusu wanazodai.inatakiwa matrioni ya pesa na hayapo.
Tatizo lako wewe uchadema umekuingia sana.itafika mahali itabidi SHEREHE ZOTE ZA SERIKALI ZISITISHWE, sijui muungano,uhuru,sijui sikukuu ya nini,mbho za mwenge, pesa zote zielekezwe kwenye utauzi wa kero kama hizi na huyu mk.were aache kuchezea hela kuzurura kama pia.
kwani hamtibiwi huko?Na wanapeleka fedha kusaidia shule na hozpitali za kanisani badala ya zao wenye, mbona hilo hamlisemi? MoU. ni wakati muafaka hizo fedha zilete madaktari badala ya kwenda huko.
wao wanataka hela kwanza, hili swala la vifaa ni geresha tu. hata wakiletewa vipya watasema ni vibovu halafu wanakulengesha kungine wanapopata %.Basi waimarishe hata huduma za hospitali kama kununua vifaa lbd itawashusha madaktri maana na hilo ni mojawapo ya madai yao
Tanzania Daima ni gazeti la Udaku sio la kulifuata kabisa.
Ingekua ni hivo kweli Madakatari wa KCMC Bugando Mbeya na hanang wasingekua wanagomaNa wanapeleka fedha kusaidia shule na hozpitali za kanisani badala ya zao wenye, mbona hilo hamlisemi? MoU. ni wakati muafaka hizo fedha zilete madaktari badala ya kwenda huko.
Na utaiharibu kweli kama unashabikia mgomo unaosababisha vifo vya watu.Sabato Njema!Bora tu niwahi kanisani maana kwa upuuzi kama huu naweza nikaharibu sabato kwa udhaifu wa serikali.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Viletwe kwanza af ndo tutajua ka watavikataa kuliko ku assume, na hata wasipovitumia wao basi itakua asset kwa taifa in future vitatumika tu!wao wanataka hela kwanza, hili swala la vifaa ni geresha tu. hata wakiletewa vipya watasema ni vibovu halafu wanakulengesha kungine wanapopata %.