I don't think this index of quality of life is credible.
I have been in the Caribbeans, Trinidad and Tobago, Grenada, Antigwa, hakuna kitu kule. Watu wanaishi kwenye nyumba za Mabox na mbao, takataka kila sehemu kuliko Kariakoo, ujambazi kwa taarifa yako ni mkali kuliko wa Bongo. Ukishuka tu Airport, watu wanataka kujuwa unatoka wapi, usithubutu kusema unatoka USA, watakuteka, watachukua kila kitu, na kukutoa roho.
I mean, these people when they come with these bogus statistics, wao wanacho juwa ni nothing kuhusu Africa zaidi ya kufikiria kuwa eti Africa ni jehanamu ndogo. lol.