Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Mwanka 2009 ulikuwa mwaka ambao baadhi ya maeneo ya Tanzania yalikumbwa na Ukame wa hali ya hatari. Mashamba mengi yalikauka na mifugo mingi ilikufa. Maeneo yalikuwa na njaa yalikuwa ni manyara, karatu, rombo, kiteto, babati, mobduli, longido, hanang, arumeru, simanjiro.
Hata hivyo serikali iliweza kutoa Tani 60,000 kama msaada wa chakula kwa wahanga wa hayo maeneo yaliyokumbwa na njaa. Sina kumbukumbu kama kipindi hicho serikali ilikuwa na shamba.
Yani Tani 60,000 zilizokuwa ziliweza kutosheleza mkoa wa Arusha na kilimanjaro.
Kutokana na report ya chakula kilichopo kwenye maghala ya serikali. Kuna tani 90,000. Hiki kinatosha mikoa mitatu kwa sasa kama janga ka njaa halitakuwa kubwa na kwa muda mrefu.