2007 Toyota Coaster for sale

Kazi ipo ile Coaster ni mwaka 1992 au 1994 si zaidi ya hapo! Gari ya mwaka 2007 sio hiyo na wala haziko hivyo!!!

Mkuu kama kweli hii ni model ya 1994 nadhani kutakua na typing error kwasababu kwenye kadi inaonyesha ni ya 2007
 
Ninayo Coaster kama hii,
Ukweli hua tuna peleka tarehe/mwaka mbele ili tuweze kupata usajili wa Sumatra kwani wanahitaji isiwe na miaka zaidi ya 10.

Inabidi mumuelewe muuzaji kua kuanika kitu kama hiking hadharani kisha aka-declare kwamba iko above 10years inamaanisha alifoji Sumatra so haijakaa poa kwake.

Ingawa kudanganya kwamba ni ya 2007 nayo haijakaa poa kwetu so conflicts of interest arise.

So nunua ukiujua ukweli huu!!

Mkuu asante sana
 
Hiyo ni Toyota coaster second generation, sasa hivi kuna third labda na kuendelea, hivyo second generation haiwezi kuwa ya 2007 ongea unavyotaka lakini mwisho siku huo mwaka sio wake!

Kitu kimetulia, we sema tu kama mshiko umepungua kidogo, jamaa yuko tayari kupunguza. kuhusu mwaka, utaichunguza utakapoiona, ubishi wa nini?
 
Ninayo Coaster kama hii,
Ukweli hua tuna peleka tarehe/mwaka mbele ili tuweze kupata usajili wa Sumatra kwani wanahitaji isiwe na miaka zaidi ya 10.

Inabidi mumuelewe muuzaji kua kuanika kitu kama hiking hadharani kisha aka-declare kwamba iko above 10years inamaanisha alifoji Sumatra so haijakaa poa kwake.

Ingawa kudanganya kwamba ni ya 2007 nayo haijakaa poa kwetu so conflicts of interest arise.

So nunua ukiujua ukweli huu!!

na haya ma dcm wanayafanyaje sumatra wakati yanatengenezwa na mabati ya magate nanimagari yakizamani kwakweli uku kwetu atown akuna atakaepanda ata kwa bure dar masista du wanayarukia.wanachonga kadi au wanafanya jibu tafadhali
 
Kwa gari zilizoko wanaziacha mpaka zife zenyewe, ila sasa kufa kwa DCM ni ngumu maana kuifumua na kuiunga upya ni rahisi kuanzia body mpaka injini, hivyo toka 19's zinadunda tu.

Gari zinazoingia barabarani upya/sasa/kwa mara ya kwanza ndio kasheshe kusajili, mpaka uchakachue umri wa gari.
 
...Kama mwaka tu umeficha sasa utashindwa vipi kuficha tatizo?...

Mkuu kwani we offer yako ni kiasi gani? Ndinga haina tatizo lolote usitie shaka kabisa, kuhusu huo mwaka nadhani mkuu Shark ameelezea vizuri.
 
Hiyo gari ni ya mwaka 1989 hamna kitu hapo kama kweli unauza kula ml 6 fasta acha porojo sisi tunayajua magari kuliko wewe unavyofikiri
 
Hiyo gari ni ya mwaka 1989 hamna kitu hapo kama kweli unauza kula ml 6 fasta acha porojo sisi tunayajua magari kuliko wewe unavyofikiri

Naona disco ameingia mmasai duh haya bwana ila ml 6 haitoshi mkuu labda kama unanipa pamoja na mkeo au dadaako tunaweza kuongea kidogo.
 
...Kama mwaka tu umeficha sasa utashindwa vipi kuficha tatizo?...

Kuficha mwaka linaweza lisiwe kosa lake. Amesema kaiingiza toka Dubai. Kule dubai huwa wana tabia ya kununua magari yaliyopata ajali Japan na kuwa wittern off, halafu wanayakarabati na kutenegeza doccuments za magumashi na kuuzia wajasiriamali wa bongo, Mombasa na kwingineko. Inawezekana hii gari imepitia kwenye mlolongo wa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom