Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,423 Reaction score 54,876 Jul 16, 2023 #581 Mwachiluwi said: Ahahaha wewe itakuwa ndio walikuwa wanakufikilia π€¨ππ Click to expand... πππππππ Case 1
Mwachiluwi said: Ahahaha wewe itakuwa ndio walikuwa wanakufikilia π€¨ππ Click to expand... πππππππ Case 1
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 16, 2023 Thread starter #582 Kool the gang said: Nilikaa BOTSWANA mwaka mmoja nikaelekea Afrika kusini 2008 nikazamia Uingereza ninapoishi hadi sasa. Click to expand... Duh na mimi nataka.kufika uko nafikaje
Kool the gang said: Nilikaa BOTSWANA mwaka mmoja nikaelekea Afrika kusini 2008 nikazamia Uingereza ninapoishi hadi sasa. Click to expand... Duh na mimi nataka.kufika uko nafikaje
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 16, 2023 Thread starter #583 Poor Brain said: πππππππ Case 1 Click to expand... Qhhahah
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,370 Reaction score 15,163 Jul 17, 2023 #584 Mwachiluwi said: Mwaka wa ngapi Click to expand... Wa pili
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,169 Reaction score 18,872 Jul 18, 2023 #585 Hapo Nilikuwa darasa la 3 aisee!
Sodium 23 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 484 Reaction score 492 Jul 18, 2023 #586 Nilikua la saba. Ndio tulikua tunajiita LY (last year), wakubwa wa shule. Ila haya maisha bana.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 18, 2023 Thread starter #587 Sodium 23 said: Nilikua la saba. Ndio tulikua tunajiita LY (last year), wakubwa wa shule. Ila haya maisha bana. Click to expand... Ahahahha na ukaandika ukutani jina lako la a.k.a
Sodium 23 said: Nilikua la saba. Ndio tulikua tunajiita LY (last year), wakubwa wa shule. Ila haya maisha bana. Click to expand... Ahahahha na ukaandika ukutani jina lako la a.k.a
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,918 Reaction score 136,643 Jul 18, 2023 #588 Daraea la nne. Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Sodium 23 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 484 Reaction score 492 Jul 18, 2023 #589 Mwachiluwi said: Ahahahha na ukaandika ukutani jina lako la a.k.a Click to expand... Tena kwa kutumia embe. Akumbukwe sodium 23.
Mwachiluwi said: Ahahahha na ukaandika ukutani jina lako la a.k.a Click to expand... Tena kwa kutumia embe. Akumbukwe sodium 23.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 18, 2023 Thread starter #590 Sodium 23 said: Tena kwa kutumia embe. Akumbukwe sodium 23. Click to expand... Ahahahhah ulikuwa muhuni
Sodium 23 said: Tena kwa kutumia embe. Akumbukwe sodium 23. Click to expand... Ahahahhah ulikuwa muhuni
Jugado JF-Expert Member Joined Oct 28, 2021 Posts 1,446 Reaction score 3,192 Jul 18, 2023 #591 Nilikua na miaka 22π¬π¬
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 18, 2023 Thread starter #592 Jugador_2023 said: Nilikua na miaka 22π¬π¬ Click to expand... Kwahiyo sasa uko na miaka mingapi?
Kakijana JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 726 Reaction score 3,347 Jul 18, 2023 #593 Humu unaweza kujikuta unamt()ng()za mjukuu wako..
Curtiz JF-Expert Member Joined Oct 1, 2021 Posts 1,312 Reaction score 2,480 Jul 18, 2023 #594 La 7b shule ya msingi maweni tanga
Jugado JF-Expert Member Joined Oct 28, 2021 Posts 1,446 Reaction score 3,192 Jul 18, 2023 #595 Mwachiluwi said: Kwahiyo sasa uko na miaka mingapi? Click to expand... Itakua 22 plus umri wango almost 38!
Mwachiluwi said: Kwahiyo sasa uko na miaka mingapi? Click to expand... Itakua 22 plus umri wango almost 38!
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 3,170 Reaction score 6,194 Jul 18, 2023 #596 2006 nilikuwa nasomea lugha ya kingereza asee nikaona inanizungua nikaamua kusomea lugha ya mtaani tu...
2006 nilikuwa nasomea lugha ya kingereza asee nikaona inanizungua nikaamua kusomea lugha ya mtaani tu...
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 18, 2023 Thread starter #597 Jugador_2023 said: Itakua 22 plus umri wango almost 38! Click to expand... Unaenda uzeeni
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 18, 2023 Thread starter #598 Saad30 said: 2006 nilikuwa nasomea lugha ya kingereza asee nikaona inanizungua nikaamua kusomea lugha ya mtaani tu... Click to expand... Ahahhah duh now upo mahili
Saad30 said: 2006 nilikuwa nasomea lugha ya kingereza asee nikaona inanizungua nikaamua kusomea lugha ya mtaani tu... Click to expand... Ahahhah duh now upo mahili
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 18, 2023 Thread starter #599 Kakijana said: Humu unaweza kujikuta unamt()ng()za mjukuu wako.. Click to expand... Na bibi yako kabisa
Kakijana said: Humu unaweza kujikuta unamt()ng()za mjukuu wako.. Click to expand... Na bibi yako kabisa
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,483 Reaction score 65,801 Jul 18, 2023 Thread starter #600 Curtiz said: La 7b shule ya msingi maweni tanga Click to expand... Dogo kabisa