Wote hapa wanaosema walikuwa wamezaliwa , walikuwa wapo latano acheni uongo humu watu mumekomaa midhili ya kutisha hapa la tano my foot hapo wote mpo chuo au sekondary aiih ! Eti latatu my foot hata
Mwachiluwi ulikuwa chuo au secondary msitufumbe machoo