Mkuu hii ndio platform pekee unakuta kila rika linafanya interaction na rila lolote bila kuulizana umri. Huko mtaani huenda tunapishana kwa "shkamoo--marahaba"! Kwahiyo tuishi tu dogo.