Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,627 Jul 7, 2013 #101 futa kila kitu kwenye simu yake. yan ifanyie factory settings afu umrudishie. akikuongelesha kitu usimjibu. mwangalie tu. baada ya mwezi mmoja kagua simu yake ukikuta number zile zile mpige chini maana ni tabia yake,
futa kila kitu kwenye simu yake. yan ifanyie factory settings afu umrudishie. akikuongelesha kitu usimjibu. mwangalie tu. baada ya mwezi mmoja kagua simu yake ukikuta number zile zile mpige chini maana ni tabia yake,