Utafiti huu unamashaka
Idadi ya wanawake nimaradufu ya wanaume
Kuoa haukutegemei sifa za ajabu....hata vijijini wanaoana..japo maisha yachini kabisa.
Na wanaoishi bila kuoa wanaume.... Wengi nikuogopa majukumu...maana ajuaye hicho kikombe kukinywa aghalabu ujiandae vinginevo nikukikwepa.
Hihihihihihihihi wanangonoka kama bataKitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata.
Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
Siyo kweli.Kitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata.
Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
Nahisi kama wewe ndo haujamsoma Mimi naona kamaanisha yani hiyo asilimia yako 80+20=100....hiyo asilimia yako 100 ndio hiyo inayoikamilisha asilimia 99 ya kwenye 100 ambayo 1 take ndio matajiri wa fedha duniani. Ni hesabu tu imepikwa katika hesabuSiyo hivyo nafikiri labda haujailewa hiyo Kanuni, ni kwamba wewe kama Mwanaume na hauko kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka, hauwezi kupata Mwanamke wa kuoa, kwa maana Mwanamke hawezi kukukubali!
Hahahaha hahah hapo umepiga penyewe, hao ndo mademu bhana nawakubali sana!
Asa kumbe nini... Hivyo yaanHahahaha hahah hapo umepiga penyewe, hao ndo mademu bhana nawakubali sana!
hiyo ni theory haimanish ndo actual thing!Siyo hivyo nafikiri labda haujailewa hiyo Kanuni, ni kwamba wewe kama Mwanaume na hauko kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka, hauwezi kupata Mwanamke wa kuoa, kwa maana Mwanamke hawezi kukukubali!
Africans are lazy, good at sex, theft: Trump Africans are lazy, good at sex, theft: TrumpKitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata. Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
well saidKitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata.
Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
Hahha wewe na mwenzako... wawil mnatosha kabisa
Heee ushindweeHahha wewe na mwenzako... wawil mnatosha kabisa
Money.. Power... Respect!!!
"Vijijini ni asilimia 90 masikini starehe yao ni pohmbe na nyinyi"- R.I.P Alberm M. , sikilizaNahisi kama wewe ndo haujamsoma Mimi naona kamaanisha yani hiyo asilimia yako 80+20=100....hiyo asilimia yako 100 ndio hiyo inayoikamilisha asilimia 99 ya kwenye 100 ambayo 1 take ndio matajiri wa fedha duniani. Ni hesabu tu imepikwa katika hesabu
Iyo "ukiwa na game" una maanisha nin..Kinyume chake, ukiwa na game hakuna shida utakuwa na rundo la Wanawake wa kuchagua, ukiwa hauna sahau!
Wanao jiuza vpUlishawahi kujiuliza kwa nini kuna Wadada wengi sana siku hizi hawajaolewa? Siyo kwamba hawapati Wanaume au hakuna Wanaume wa kuwaoa bali ukweli ni kwamba hawapati Wanaume wanaowataka wao, kama ulikuwa haufahamu hilo basi nakuelimisha leo hii, hii inaitwa Kanuni ya 80/20, inasema kwamba 20% tu ya Wanaume ndiyo wanaowabadilisha Wanawake wote, na Wanaume waliobakia wanaondoka patupu, yaani kwa maana nyingine kama wewe ni Mwanaume na uko nje ya 20% haupati demu hata ufanyeje labda ubake ambapo utaishia Jela au ukahonge Kona Bar, lkn utalala njaa kwa kukosa hela ya kula!
Siku hizi kuna Wanaume wengi tu hawapati Wanawake wa kuoa, ingawaje wanajaribu kila wawezalo, lkn wanasahau hii Kanuni kwamba hawamo kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka kuolewa nao, hivyo utamaliza dawa zote, utazunguka kwa Wachungaji wote lkn kama haupo 20% ya Wanaume hautapata Mwanamke labda ubake!
20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake, Wanaume waliobakia hawapati Wanawake.
Ndiyo maana utasikia maneno meengi ya kashfa ktk kwa Wanaume ambao wako nje ya 20% sijui mara mtazeekea nyumbani, mara sijui muda unakwenda lkn ukweli ni kwamba siku hizi Wanawake hawakubali kuolewa na ambaye hana game, hata kama akipiga miaka 40 ni bora lkn chini hashuki, ...