20 USD n sawa na Tsh Ngap?

20 USD n sawa na Tsh Ngap?

ni 40,000 tsh ingekuwa dolla 100 ingeongezeka ungeweza pata kuanzia 210,000 tsh
 
Nenda google andika 'Usd to tsh online converter' utapata calculator nzuri ya kubadilishia
 
Mlimani city ni 1800 (kwa 5, 10 USDs) kwa USD, kwa 20 USDs ni Sh. 36000. Kwa 50 na 100 USDs ni 2070 kwa Dollar
 
Back
Top Bottom