Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,711
jamani nimeisikia leo asubuhi kwenye vijiwe vya kahawa kuwa jamaa 20% alikamatwa na unga congo miaka 2 au 3 iliyopita na kuwa yuko congo amefungwa.Nilijaribu kuulza kidogo lakn mnywa kahawa hakuwa na majibu ya kuniridhsha,nimekuja kwenu kwa mtu mwenye uhakika please afunguke