ni bora kwa kuwa huwa huna hoja ila vihoja tunakushukuru kwa wazo lako la kulala kwa kuwa litatuponya na miban- ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! OK NAENDA KULALA NOW NO COMMENT!!
LE MUTUZ!!
Wana Jf napenda kutowa hoja hii kuwa DK.slaa ni katibu mkuu bora kuliko makatbu wakuu wote wa vyama vya siasa nchi tanzania. tathimini hii nimeifanya mimi mwenyewe kutokana na namna anavyo fanya kazi za chama.
Niliwahi kufanya kazi na katbu mkuu wa NCCR mageuzi wakati ule ndugu. Mabere Malando mwaka 1994 mpaka 1997 niliwahi kufanya kazi na katbu mkuu wa CUF Chama cha wananchi ndugu. Maalim Seif sharif hamadi mwaka 1998 mpaka 2007 na ninafanya kazi na dk.slaa tokea mwaka 2008 mpaka leo hii nikiwa mtendaji katka ngazi za chini za uongozi kata,jimbo na wilaya nimegundua kuna tofauti kubwa sana kati ya Dk.Slaa na makatibu wezake.
1. dk.slaa anapo fanya ukaguzi wa chama anapo kuja ktk ngazi yako ya uongozi ana kagua Uhalali wa wajumbe.
2.anasoma mihutasari ya vikao vyenu kisha ana jenga hoja kupitia alicho soma.
3. hata akiwepo ofisini ana towa matamko kwa watendaji. hali hii haipo kwa makatibu wengine wa vyama vingine utakuta wao wanapo kagua chama huwa wanasomewa risala basi kisha wao hawakagui chochote.
Nilitupa kadi yangu ya CCM kutokana na uzalendo alonao huyu mzee. Nashindwa kuelewa majitu mengine yanayosambaza picha zao za uchi kwa wanawake kupitia mitandao kujiita makada wa CCM huku wakikimbia familia zao. Hawa watatusaidia nini wakati hawawezi kuzisaidia familia zao. Mengine wauwaji wa Faru na Tembo ndio makatibu wetu wakuu? Hapana sikubaliano nao. Naomba Mungu 2015 ifike Kinana na kundi lote la CCM waende segerea.
CHADEMA kuwa na katibu mkuu mmoja na CCM kubadilisha mara tatu hakutoi picha au conclusion kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA ni bora kuliko wale waliokuwa Makatibu wakuu CCM . Hii inategemea na political set bar ambazo chama kimejiwekea. Ndiyo maana unakuta vyama vingine vya kisiasa vina viongozi wale wale toka vianzishwe. Is that make them better that other political party?. You tell me, is Mh Momose Cheyo is better than all other political parties?, bear in mind, He has been Chairman toka UDP kije duniani.Think bigger
dude.
There is an old adage which goes like this "If aren't broken don't try to fix it! Does it ring any bell to you"?!
kama hicho kiwanda amekisajili na TRA wanachukua kodi basi tatizo lipo kwa serikaliKatibu mkuu bora kwa kuvunja ndoa za watu,kutelekeza familia na kumiliki viwanda vya kutengeneza uongo.
CS;
Najua nitapigwa madongo. Lakini kwa sisi tusio na vyama vya siasa tunaweza kuchambua vingine. CCM alitoa ahadi kuwa akishinda atafanya hivi na vile. Na vilevile ndio mwenye kuwa na bajeti ya nchi na kuifanyia mipango ya utekelezaji. Hivyo akiboronga mtaji wake wa kisiasa unapungua kwa kiasi kikubwa.
Kwa upande mwingine. CDM kazi yake ni kuonyesha wapi watawala wanakosea au wanaonea. CDM are activists. The real test of characters will come when we, the people, give CDM power.
Afadhali Yusufu na Mukama hawakuwa na matakataka ya pekee kama huyu Kinana, naona patachimbika, mbona wapo wengi wazuri tu kwa nini wang'ang'aniwe wenye yellow card?
.......Ndiyo maana unakuta vyama vingine vya kisiasa vina viongozi wale wale toka vianzishwe. Is that make them better that other political party?. You tell me, is Mh Momose Cheyo is better than all other chairman of political party?, bear in mind, He has been Chairman toka UDP kije duniani.
Think bigger dude.
- ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! OK NAENDA KULALA NOW NO COMMENT!!
LE MUTUZ!!