Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 3,402
- 6,664
Apewe tajiri wa Kigamboni Vincenzo JrBraza Evelyn Salt na Numbisa tuzo inawahusu
Ongeza hawa mabro Vincenzo Jr Mbaga Jr The Icebreaker kwa mwaka huu wapo kila sehemu
ππππBraza Evelyn Salt na Numbisa tuzo inawahusu
Ongeza hawa mabro Vincenzo Jr Mbaga Jr The Icebreaker kwa mwaka huu wapo kila sehemu
Kisa hujatajwaππππUzi wa kipuuzi huu sichangii chochote
Kama hayupo secretarybird au Busu la Kenge huu uzi tayari ushakosa maana , mleta mada pombe zishamchanganya tayariKisa hujatajwaππππ
Asante kwa kusoma mada na kuchangia Mkuu.Uzi wa kipuuzi huu sichangii chochote
Mbona umechangia hivi uko sawa kweli wewe ππUzi wa kipuuzi huu sichangii chochote
Tajiri wa Kigamboni anafaa πApewe tajiri wa Kigamboni Vincenzo Jr
Daaah lakini yeye kasema kama unaona kuna mtu hayupo mumtajeKama hayupo secretarybird au Busu la Kenge huu uzi tayari ushakosa maana , mleta mada pombe zishamchanganya tayari
Rudi juu tena, kwenye mada husika,kisha soma Paragraph ya pili kwa umakini zaidi,Kama hayupo secretarybird au Busu la Kenge huu uzi tayari ushakosa maana , mleta mada pombe zishamchanganya tayari
Dah! ππTajiri wa Kigamboni anafaa π
Braza Evelyn Salt na Numbisa tuzo inawahusu
Ongeza hawa mabro Vincenzo Jr Mbaga Jr The Icebreaker kwa mwaka huu wapo kila sehemu
Umuongeze na adriz kwenye List hatutaki makasiriko kwenye huu uzi.Noted.
Nimejatibu edit imekataa ila moderators wakiniruhusu nita edit.
Maana pia kuna uzi wa mwisho wa 4 wa wale wana siasa wameubana .
Hawajauruhusu kupanda hewan
NitawaaddKama hayupo secretarybird au Busu la Kenge huu uzi tayari ushakosa maana , mleta mada pombe zishamchanganya tayari
Kisa kule umepewa kura chache π?Uzi wa kipuuzi huu sichangii chochote
π kupima ni bureMbona umechangia hivi uko sawa kweli wewe ππ