2 in 1. Nilitakiwa kuitwa Baba

2 in 1. Nilitakiwa kuitwa Baba

Ila ulikuwa kiwembe sana mwanangu
haki unanionea aisee. Me ni goodboy, sema kipindi hicho mambo yalikuwa tight sana, harufu ya msosi unaickia kwa majirani ukiwa unapita njiani.

Ushawahi lala njaa siku 2 mfululizo (48 hours), alaf na bado pia hujui kama utapata kitu cha kula?

Siku ya 3 unakutana na mtu anakupa jero tu, baada ya kujielezea sana kwake. Hiyo jero unaingia nayo sokoni unanunua zile ndizi mbivu ambazo zimeiva sana hadi zinaelekea kuharibika kiasi kwamba wateja hazina, muuzaji unampa hiyo jero anakwambia chukua zote .
 
Life is just like twice tedious tale
 
Kwahiyo kuwagonga mademu wawili ndio kukakupa msosi au siyo!?!
Wewe ni kiwembe.
 
tatizo wewe umeshikilia hapo, ila ungesoma hiyo story tokea mwanzo ungejua hapo tulifikaje
Nilishaisoma yote tangu mwanzo na nimesoma Mara nyingi sana siku za nyuma.

Nimeshikilia hapo ndiyo maana ndipo nilipopaona zaidi.
Kwahiyo wale mademu ulivyowagonga wakawa mlango wa kupata msosi?
 
Kwanini umeshikilia sana hapo?
 
Ila shetani hajawahi muacha mtu salama ..
Pepo linaondoka ila madhara ya dhambi lazima uyabebe tu.
Tayari alishaondokaga kitambo huyo shetani, na hawez tena rudi kwangu.
 
Back
Top Bottom