Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,663
Nakumbuka kipindi hicho nipo nyanda za juu kusini bado naendeleza harakati zangu za kunifanya nitoboe kimaisha. Kuna eneo fulani nilistack kwa muda mrefu sana nikifanya vibarua vya kupanga na kutreat mbao. Life lilikuwa gumu kichizi, unakula mlo kidogo, ila kazi unapiga nzito kwa ujila mdogo.
Nakumbuka siku hiyo tupo site na mmama fulani hivi (alikuwa mteja wa mara kwa mara wa mbao hapo). Alikuwa amenizoea kimtindo, na kila akija kupakia mbao alikuwa anaomba nimsaidie kusimamia uhesabuji.
Siku hiyo tunamalizia kupakia, pale site akapita dem mmoja mkali ana mzigo wa kutosha nyuma. Alivyotupita karibia vijana wote pale site waligeuka kutazama mzigo kasoro mimi ( Hii kwangu imekuwa kama kawaida, nikiwa nimesimama na mwanamke, hata apite mwanamke mwingine mkali vipi huwa sigeuki). Yule mama akaniuliza "Mbona ww hujageuka kama wenzako?" Nikamjibu huku naona soo "Hakuna kipya hata ningegeuka maana napishana nao kila siku watu kama yeye, kwahiyo sijaona sababu ya kugeuka"
Akanijibu "Analysis yako ya ukweli, ila reason haina mashiko". Sikuelewa alimaanisha nini, ila tukaishia hapo (Naweza sema huyu mama ndio alisababisha mm kutumia jina la Analyse humu JF). Tokea siku hiyo kukaongezeka ukaribu fulani kati ya mimi na huyu mama.
Kulikuwa na tetesi kwamba huyo mama anapenda vijana wadogo, ila pia ana ngoma kwahiyo wengi walikuwa wanamkwepa. Lakini kutokana na msoto niliokuwa nao kipindi kile wala sikuwa najali, nilikuwa naombea aje tu aniwekee glisi kwenye maisha yangu. Nakumbuka nilikuwa najipa moyo heri kuishi kwa raha miaka mitano alafu ufe, kuliko miaka mitano ya msoto, maana kipindi napanga mbao, ilikuwa nikienda kulala mwili wote unauma, na unaamka na maumivu kama ulivyolala, then unarudi kazini.
Kuna siku baada ya kupakia mbao zake, yule mama akaniambia anamaongezi na mm kwahiyo badae niende kwake, nikasema poa.
Nikaanza kuombea liwe zali la mentali na sio vinginevyo. Naweza sema mambo yalikuwa upande wangu, maana nilichoombea ndivyo ilivyokuwa. Yale mawazo ya mama ana ngoma hata sikutaka yapate nafasi tena. Nakumbuka nilipofika nyumbani kwake, palikuwa na utulivu mkubwa. Hakuwa mtu wa kuzunguka sana, aliniambia "Wewe ni mwanaume, nadhani unajua kwann nimekuita hapa vinginevyo usingekuja"
Akatoa chupa mbili za pombe, moja ni konyagi, hii ya pili ilikuwa ni wine ila kutokana na kwamba sikuwa mnywaji wa pombe, sikuweza kuijua kwa mbali (baadae niligundua ni dompo). Akaniuliza unapendelea ipi? Ilikuwa ngumu kuchagua maana situmii kabisa, ila sikutaka kuonekana mshamba, nikachagua konyagi maana haikuwa ngeni machoni alaf pia nilishawahi kuwaskia washkaji kijiweni kwamba ukinywa konyagi unapiga shoo ya ukweli.
Akaweka mzinga mbele yangu na glass mbili, akamimina alaf akatoka. Alivyotoka nilipiga ile glass yangu kwa mikupuo miwili (siku hiyo ndio nilielewa kwanini wanywa pombe kali mda mwingi wanakuwa kama wamekunja sura). Yule mama alirudi akiwa ameshika pepsi take away huku ananishangaa kwa jinsi alivyonikuta. Akaniuliza ushawahi kunywa pombe kweli? Kwa adhabu niliyopewa na ile konyagi ikabidi niseme ukweli tu kuwa hapana. Akatoa zile glass na konyagi, akasema kwavile ndio unaanza tunywe hii (akaleta ile wine ya mwanzo). Tukaanza kunywa taratibu.
Story tulizokuwa tunapiga zingine hazikuwa hata na mashiko ilimradi kupoteza muda tu, ikafikia hatua nikawa simsikii vizuri au namsikia kwa mbali. Nakumbuka pombe zilipokolea akaniuliza mara ya mwisho kufanya mapenzi ilikuwa lini. Kiukweli hapo nilikuwa na kama miaka mitatu au na nusu sijalala na demu, napiga puli tu (hela ya msosi matatizo, ndio itakuwa ya kupatia demu?). Nakumbuka wakati nafikiria, nikaegemeza kichwa kwenye mgongo wa sofa, baada ya hapo sina nilichoelewa tena. Nilistuka mishale ya saa kumi na moja alfajiri, nimelala pale pale kwenye sofa, taa hazijazimwa na yule mama hayupo. Nikajilaumu sana kuwa nishafeli. Sikuwa mzoefu kwenye ile nyumba kusema niende kwenye chumba cha yule mama.
Nikaanza kulaumu kwann nilikunywa pombe wakati sio mambo yangu. Pia nikamlaumu yule mama kwanini hakuniamsha tuhamie wote chumbani (hapa nafsi ikaanza kunisuta). Ngoja niwaambie kitu kimoja wakuu, kama kuna mtu basi nafsi yake huwa inaongoza kwa kumsaliti, basi yangu haijawahi kuwa pamoja na mimi. Msala wowote ukinitokeaga kuna sauti ndani yangu inakuwaga against na mimi kwa asilimia 100. Nakumbuka wakati namuangishia lawama yule mama kwa kutoniamsha twende chumbani, sauti ndani yangu inaniambia "Uende chumbani ukafanye nini au akuskie unavyokoroma ukilala? Nikawa mpole sebleni pale, huku najiuliza nifanye nini, Nafsi inanijibu "Ufanye nini? Kapige puli"
Niliganda pale sebleni, mwishowe nikasinzia tena. Nilikuja kustuliwa na mdada wa kazi, asubuhi kweupee hadi nkaona aibu. Kumuulizia yule mama, naambiwa ametoka. Nikasema ngoja niondoke kabla hajarudi. Yule dada akaniambia kama naweza kuwasaidia kufix dirisha, maana mvua za upepo zilikuwa zinaingiza maji ndani (ilikuwa msimu wa mvua ila bado hazijaanza kuchanganya). Akamuita mdada mwingine ambaye nilikuja kujua ni mtoto wa yule mama. Nikaenda sehemu husika nikiangalia namna ya kuweza kurekebisha. Huyu mtoto wa yule mama, ni dizaini ya wale watoto ambao akiwa nje ya nyumba basi yupo boarding shule, kinyume na hapo hatoki nje ya nyumba. Ukiangalia life style yake (geti kali) ukajumlisha na ya kwangu mie ambae nilikuwa na miaka kibao sijala demu, kabla ya kufix dirisha sijui hata ilikuwaje tukajikuta tunafix miili yetu. Nilimla yule binti, alaf kutokana na ugumu niliokuwa nao, nilimaliza haraka pia hakukuwa na ufundi wowote. Sema siunajua ukila chakula kilicho chacha wakati wa njaa kali, bila kujali lazima umsifie mpishi. Yule demu baada ya game anasema asante, nikaitikia karibu tena. Nafsi yangu ikaingilia kati "Unaitikia asante kwa kipi ulichofanya wakati umefunga goli kwa counter attack alaf umepaki bus?" Nikajaribu kuipotezea, ila maneno yakanigusa. Kwa uoga wa kufumwa, tukasaidiana kurekebisha dirisha alaf nikatoka. Yule beki 3 kumbe aliusoma mchezo wote, nilivyotoka akaanza kama kuongea ongea hadi yule mtoto wa yule mama akaingia ubaridi kwa uoga akarudi chumbani. Nikataka kutoka, beki 3 anazuia mlangoni eti hadi mama arudi.
Tukawa kama tunashindana nguvu. Mwisho wa siku ushindani ukageuka romance, tukaishia kufanyia mapenzi kwenye stoo jikoni. Huyu walau haikuwa ya kichovu kama ile ya mwanzo. Baada ya hapo nikasepa.
Kesho yake ndio nikatokea kwenye kijiwe chetu cha mbao. Habari zishazagaa kuwa natembea na yule mama, full kuninyooshea vidole. Nikaanza kuwa na mkwepa yule mama kila akija kijiweni sababu ya aibu. Baada ya kama wiki 3,nikaskia yule mama ananitafuta sana. Nikawa nampotezea. Mwisho wa siku nikaja bebwa na polisi, kule ndio nikajua kuwa wanasema nimempa mimba beki 3 na mtoto wa yule mama ambae pia ni mwanafunzi. Nilikaa kama siku 3 alaf nikatolewa.
Niliskia kuwa alikuja akatoa mimba ya yule binti yake, alaf yule beki 3 alimrudisha kwao. Pia inasemekana yule beki 3 hakuwa na uhakika kama mimba ilikuwa yangu au ya house boy wa pale kwao, maana yule mtoto wa yule mama alisema walikuwa na uhusiano.
Yale maeneo niliondokaga kitambo sana, japo niliskiaga yule mama alishafariki (inasemekana kwa ngoma). Yule binti na beki 3 sijui walipo. Kwa kiasi fulani nahisi kama kupata ngoma, basi ile siku nilikuwa tayari kuipata, japo kwa jinsi nilivyosasa, basi ningejijutia sana.
Mimi huwa naamini, "HUSTLING IS THE THIN LINE BETWEEN HOW YOU MADE IT AND HOW YOU RUINED IT". So tuwe waangalifu wakuu, lets beat the hustle,maana ukiwa na njaa huwezi kuwa romantic.
Wasalaam.
Analyse
Sent using Jamii Forums mobile app