2.5 Euro Cable and Seamon LAN Cable zinauzwa kwa bei chee..

2.5 Euro Cable and Seamon LAN Cable zinauzwa kwa bei chee..

Clajago

Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
87
Reaction score
10
Nauza

Electrical Cable Euro 2.5 Twin Roll 1 ya 100 metes mpya kabisa haijafunguliwa kwa sh laki moja na elfu 20(120,000/=)

Network Cable Seamon Cat 6 Roll 1 ya 300 meters mpya kabisa ndani ya boksi haijatumika kwa sh Laki mbili na Nusu(Tshs 250,000/=)


Ukihitaji nitafute kwa 0766507080
 
Back
Top Bottom