MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 622
Kuna nyumba hapa Goba, inahitaji kupiga plasta nje na ndani kote, ina vyumba vitatu vikubwa sana vya kulala kimoja ni self, sebule kubwa, jiko, dinning na verander.
Nahitaji fundi wa kupiga plasta nyumba nzima lakini bajeti yangu ni 1M tu plasta nje na ndani na kiuno.
Vyumba upana na urefu ni 3.8m kwa 3.2m.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji fundi wa kupiga plasta nyumba nzima lakini bajeti yangu ni 1M tu plasta nje na ndani na kiuno.
Vyumba upana na urefu ni 3.8m kwa 3.2m.
Sent using Jamii Forums mobile app