Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,099 Reaction score 38,714 Aug 9, 2018 #1 1988 ni mwaka nilio zaliwa ππ na hii ni post yangu ya 1988 hapa JAMII FORUM ππ hongera kwanguπππ
1988 ni mwaka nilio zaliwa ππ na hii ni post yangu ya 1988 hapa JAMII FORUM ππ hongera kwanguπππ
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,795 Reaction score 48,057 Aug 9, 2018 #2 Aisee
Designated JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 426 Reaction score 1,090 Aug 9, 2018 #3 Aaargh, Una miaka mingapi wewe? Kumbe umeweka mwaka wa kuzaliwa, basi nshajua mkuu.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,281 Aug 9, 2018 #4 Sawa mkuu [emoji1][emoji1] happy birthday kwako
Laiguanan Senior Member Joined Jul 31, 2018 Posts 115 Reaction score 184 Aug 9, 2018 #5 Designated said: Aaargh, Una miaka mingapi wewe? Kumbe umeweka mwaka wa kuzaliwa, basi nshajua mkuu. Click to expand... na hataki ku comment tena mwaka wake wa kuzaliwa utaharibika.
Designated said: Aaargh, Una miaka mingapi wewe? Kumbe umeweka mwaka wa kuzaliwa, basi nshajua mkuu. Click to expand... na hataki ku comment tena mwaka wake wa kuzaliwa utaharibika.
Chinsali JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 1,013 Reaction score 1,593 Aug 9, 2018 #6 Pesa hatuna ila ungekuwa karibu tungekumwagia maji happy birthday to you.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,833 Reaction score 55,639 Aug 9, 2018 #7 Ulipanga iwe hivi
Itovanilo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 2,311 Reaction score 5,158 Aug 9, 2018 #8 Karibu nyumbani