1875 Waitwa usaili wa POLICE.....FORM IV A & VI A..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

1875 Waitwa usaili wa POLICE.....FORM IV A & VI A.....

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zubedayo_mchuzi, Aug 16, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  jeshi la police limewaita vijana kwa idadi tajwa hapo juu kuhudhuria kwenye usaili kama ratiba zinavyo onyesha kwenye matangazo yao.
  SOURCE-NIPASHE LA JANA .
   
 2. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Ahsante ila huko police hakuna maslahi,undugunizationkwenye kupanda vyeo
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu ngoja nikapate mafunzo ya kijasusi jeshini ili 2015 niweze kukabiliana na magamba
   
 4. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nendeni mje kutugeuka baada ya cdm kushinda mtupige mabomu
   
 5. a

  anno Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kama humjui mtu huko utalinda bank mpaka basi,,,,,,,,
   
 6. lukunij

  lukunij Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio hivyo hakuna mtu atapitia file lako,ni vimemo tu vinatembea
   
Loading...