....@@@....

Olive

Member
Jun 25, 2011
88
9
Mtoto aliibiwa baiskeli akaenda polisi kuripoti,polisi akamuuliza!unahisi ni nani aliekuibia?mtoto akajibu,wazazi wangu,akaulizwa kwanini unahisi ni wazazi wako?mtoto-jana usiku nilimsikia mama akimuuliza baba,imesimama?panda basi kwa nyuma lakini usikalie kiuno,ghafla nikamsikia mama akilalama aaaaakh+mmmmkh!itakua walianguka nayo.
 
Mc katika kumpamba bi harusi akasema,"sasa nawapa sifa kubwa ya bi harusi,tangu mi namfahamu hua havai nguo za ndani,"watu eeee unasemaje? Akasema "narudia kwa msisitizo na sijakosea,biharusi huyu havai kabisaaaa nguo za ndani,!!yeye niza kutoka nje tuu,kama vile Italy, England na USA hebu mshangilieni...kila mtu ahaaa hapo sawa.
 
Jamaaa ana du na nesi,mara nesi akaanzakupiga makelele aaah...!uuuwi...! inaumaaa,Jamaa-acha usenge! Unanichomaga sindano sina tundu na silii,wewe unalo unalia nini?serebuka huko.
 
Nipo posta hapa kunafujo balaa,posta wametoa stemp mpya zina gundi mbele na kwenye makalio,wateja wamechanganyikiwa hawajui walambe wapi ili wazibandike kwenye barua.
 
Jamaa anamtongoza demu,Najitokeza katika ofisi ya moyo wako,nahitaji kazi katika nafsi yako,ninazo sifa za kutosha,kwani nimesoma katika chuo cha st LOVE huko TRUE LOVE CITY,katika masomo niliyo chukua nilipata ZERO kwenye masomo ya - usaliti ,uongo,upuuzi ,dharau ,uchoyo,kiburi,majivuno,matusi,na mpaka sasa nina Diploma ya upole,master ya wivu,bachela ya uaminifu,phd ya kubembeleza,na Uprofesa wa kupenda, je?!nitapata ajira katika moyo wako?
 
Mc katika kumpamba bi harusi akasema,"sasa nawapa sifa kubwa ya bi harusi,tangu mi namfahamu hua havai nguo za ndani,"watu eeee unasemaje? Akasema "narudia kwa msisitizo na sijakosea,biharusi huyu havai kabisaaaa nguo za ndani,!!yeye niza kutoka nje tuu,kama vile Italy, England na USA hebu mshangilieni...kila mtu ahaaa hapo sawa.

Kwi kwi kwi, haya bwana!
 
Back
Top Bottom