~~~~~~~//~~~~~~~~

ujanja ukiona dalili wanataka kukuban nalog out fasta au nabadili avatar....ukifanya hiyo mbinu mod hakupati[/QUOTE]
 
Aaaaaaaaaaarrghhhhhh!! hiyo ya kondom kidogo ntapike
 
Jamaa hamnazo.
 

u free my stress,keep it up mkuu,huyo baunsa lazima ajitapishe maana alidhani kapatia kumbe kapatiwa.lol
 
Ebwana hii kali,nimejaribu kusema kumbe natukana sijijui.teh teeh teh.

Jaribu kusema ''ALFA'' halafu useme tena ''Q'',sasa rudia hayo maneno haraka haraka kwa sauti.
 
u free my stress,keep it up mkuu,huyo baunsa lazima ajitapishe maana alidhani kapatia kumbe kapatiwa.lol
ubausa bila ujanja hakuna la mana
 
Haaaaa,haaaaa, haaaaaaa,uwiiiiii mie gafla jamaa kawa sharobaro anaogopa mvua!!!asante kwa kunupa raha mkuu!
 
Haaaaa haaaa haaaaa haaaaaa, uwiiiiiii!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…