18% on insurance and yearly road licence

na sasa pale government inapowabana hao the rich walipe kodi.... watu (Mbowe) anakuja kuwatetea kuwa wanabanwa sababu walisapoti mageuzi....

Kitu ambacho mi napinga. Kama wanadaiwa kodi ambayo wanapaswa kulipa walipe tu. hakuna namna... Ila kama "wanabambikiwa" wana haki ya kulalamika japo malalamiko yao wayaweke bayana.
 
Mbowe anaingiaje hapa?
 
Kwanza Mbowe anaingiaje hapa? Tuchukulie anaingia, Mbowe aliongelea watumishi wa umma wanaotimuliwa? Au wafanyabiashara? Mkuu sio kila ukimuwaza Mbowe lazima umuandike hata mahali pasipohusika
 
Kwanza Mbowe anaingiaje hapa? Tuchukulie anaingia, Mbowe aliongelea wafanyabiashara wanaotimuliwa? Au wafanyabiashara? Mkuu sio kila ukimuwaza Mbowe lazima umuandike hata mahali pasipohusika
Badala ya kujadili hoja kuna baadhi watajadili watu
 
Anahusika maana aliwatetea watu wanobanwa kulipa kodi akisema wanaonewa na serikali sababu walisapoti mageuzi.... ALIKOSEA
Na alipokosea tumkosoe.... yeye sio UNTOUCHABLE.... poleni mawakili wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…