naona makabachori na waarabu ndio wengi zaidi.kwa hiyo watz matajiri wazalendo ndio hao tuu?.Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu
wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe
huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya
well said.kama riziwani hayupo hio list ni batili
naona makabachori na waarabu ndio wengi zaidi.kwa hiyo watz matajiri wazalendo ndio hao tuu?.
wahindi.una maana gani makabachaoro
hakuna watu wenye majina km hayo hp Tanzania uliempatia labda fida hussein ila mengine yote chenga za uongo
Nikiangalia hii orodha sioni hata mlipa kodi ,je kodi zao zinaendana na utajiri walionao,mi wote nawaona ni wachuzi tu na sio wafanyabiashara,hapo hakuna hata aliye na biashara inayowezwa kuitwa biashara halali,ni kama wale ma tycoon wa Russia(mamafia wa kirusi)hawa nao ni mamafia wa ki TZJe Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu
wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe
huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu
wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe
huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya