17 Equations that changed the world

Haya makitu yaliniumiza sana kichwa.. nashkuru leo ninaishi kwa hesabu za kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya sijawahi kutumia logarithms πŸ™†β€β™‚οΈ
 
Runge-Kutta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]daah!!
 
Haya makitu yaliniumiza sana kichwa.. nashkuru leo ninaishi kwa hesabu za kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya sijawahi kutumia logarithms πŸ™†β€β™‚οΈ
Ahahahaahaa...!! Unakuta mtu umesoma makitu makubwa kweli, lakini unaishi maisha yako kwa kutumia topic moja tu ya somo zima toka la kwanza hadi univercity
 
Cha msingi hapo wote wanacheza na alama za msingi kama
-
+
---
=÷[]{}√><
Hao walio gundua hizo alama za kutumika kwenye hayo matheori ndio wapewe kongole za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…