16 Texts Every Man Wishes His Woman Would Send Him

Daah pole daddy angu, kweli yule tapeli alikuwa anakudhulumu mahaba. Sema tu ndo vile wewe mzee wangu, Ningekupa kisample kidogo amazing ila kigazeti kama kawaida lol. Akija ma mdogo mpya ntamtrain mapema akupe raha za duniani bana

Thanks Douta...Yule tapeli kanifanya nipitwe na mengi aisee...Ma mdogo wako akije ntampitisha kwako umpe vioni
 
Thanks Douta...Yule tapeli kanifanya nipitwe na mengi aisee...Ma mdogo wako akije ntampitisha kwako umpe vioni

Usijali mzee wangu, meanwhile ntakuwa nakuandikia vile vya papa-dota, of coz nina kila sababu ya kukuappreciate daddy angu.
 
Haliwazalo= aliwazalo

Ukiona mtu anaangalia typo kwenye hoja basi ujue umegonga ikulu,kukosea au kuchanganya h na a au l na r ni kawaida,tukianza kuchunguzana kwenye uandishi hatutofika na tutaharibu maana nzima ya u-great thinker.

You need a steering wheel the way you ridding my d!(k bway....Go getta.
 

It's a hardknock life, I understand. But why you mad at everybody tho?
 

Embu ziandike kwa kiswahili mkuu!
 
Typo=type, Stupid questions make sense than stupid mistakes, Kwanini ujijitetee ili uendelee kukosea ili tusikukosoe eti tuendeleze U great thinker.
 
Hayo mambo hayana kuwa bize wala nini, tatizo mnaoa ili mfuliwe nguo, kupikiwa chakula, lakini mngepedwa hayo maneno hayana umri wala majukumu.
 
Kiukweli mimi mvivu wa kuchat tena kwenye mahusiano inakuwa tabu....siku za mwanzoni naweza kujitahidi lakini siku zinavyozid kwenda ndio nazid kupoteza hali...hayo mambo ya kuchat yana mazoea
 
Lazima uumie kwasababu nimewastua manyumbu wa mapenzi wa hapa JF wasiwaze ngono,maana soko litapungua humu JF,pole sana Bibi bomba.

Single Bibi mna shida sana ma stress kibao,mtapata soko la vitoto vidogo hivyi vyenye balehe mvibemende Ila wenye akili kubwa hampati,endelea kushabikia ngono utaokota kina nuhu mziwanda humu JF.

Mnakuaga na viherehere mnooo mtu akitoa post yake hauko interested chapa lapa sio unajifanya kutoa ushauri na vipimo hapa mara awe site we unambwela hapa MMU hapa ni site, kiazi wewe changanya makalio uishie....stress zako peleka chooni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…