Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,653
- 171,761
Kabisa sio wewe tu ni stage kila mtu atapitia/alipitia,kinachonishangaza mibibi bomba Kama kina Evelyn Salt ina wajukuu bado wana akili za watoto wa 20s wakati washafika hadi Menopause,kwa Mtoto kuandika Hiyo post haushangai kabisa.
Haliwazalo Mjinga ndio linalomtokoea Hongera Sana kwa kukalia mijiti...Nadhani Mijiti ndio inayokuweka mjini.
Haliwazalo Mjinga ndio linalomtokoea Hongera Sana kwa kukalia mijiti...Nadhani Mijiti ndio inayokuweka mjini.
Nami nasubiri moja........
Kuandika kwenyewe hujui "Haliwazalo" ndo nini pimbi wee
Kwendraaa qmamae unang'aa sharubu hapa afu wajitia una majukumu, umepewa mwaliko mwende jukwaa la majukumu huku mtoke hapa.... Bibi nmekuzalia shangazi ako mfyuuu
Ahahahahaha....wewe uko out of point
Bro hao wtt wa kike wanapatikana wapi??..Hii Dunia nilipo sijakutana nao aisee
Bro hao wtt wa kike wanapatikana wapi??..Hii Dunia nilipo sijakutana nao aisee
Hivi si ulikatazwa kukesha..mwenza wako yuko wapi muda huu?
Haha. Wapo aisee. Nishashuhudia karibu zote hizo, kutoa number 2,5,7 na 16.
Teh teh..We mshamba unafanya nn muda huu??..btw hivyo vitu uwa unavifanya??
Bro hao wtt wa kike wanapatikana wapi??..Hii Dunia nilipo sijakutana nao aisee
Natafuta chance ya kuonana na mchungaji..teh.
Hivyo vitu nafanya ndio..vichache lakini.