Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Hata kama hana sifa hizo
Utoto Raha Sana unapata mda mwingi wa kufikiria ngono,ungekuwa una majukumu ya family,kodi ya nyumba,kutunza wazee kijijini,kujenga kakibanda chanika au mavulunza usingepata mda wa kuwaza ngono.

18)Baby Magufuli kaja ofisini na hajanikuta kazini

Kama we hauwazi ngono hapa umefikaje, au hapa ndo site yako chanika watu wengine bana utadhani mmekalia vijiti
Kweli aisee!,mwanzo hata mimi nilikuwa hivyo lkn sasa hivi purukushani za Kimaisha zimenifanya niwe wa tofauti sana.
Mpendwa ahsante, ngoja nizisevu....kifuatacho ni mameseji tu yani mameseji kwa kwenda mbele