14 rules for men

14 rules for men

Wanawake wa jf naombeni mkigeuze tu kichwa thread.....hizo principles ni zetu....tuwe ivo yaan
Hii vita naiangalia. Hila mwisho lazima mshindi apatikane tu. Naipa Miaka 5. Mungu akitujalia 2030 tutashuhudia mshindi nani.
 
Hii vita naiangalia. Hila mwisho lazima mshindi apatikane tu. Naipa Miaka 5. Mungu akitujalia 2030 tutashuhudia mshindi nani.
🤣🤣🤣🤭 Hapana bhana,utani tu.mwanaume ni mwanaume tu
 
2,4,9 hizi hakikisha unazitumia kwenye maisha yako kokote ulipo.
 
Hapo kwenye ku-carry cash.

Siku moja rafiki yangu wa kike aliniita sehem tukale bata. Mimi na huyu dada tulikuwa tushatengeneza kama ki desturi flani hivi. Yule atakeye mwalika mwenzie, ndiye atalipia bills zote za mtoko. Hatukuwahi kusemezana hivo ila ilitokea tuu ikawa hivo.

Siku hiyo ilikuwa weekend. ndo najiandaa kulala, akanipigia simu...njoo mahala fulani kuna karaoke. Nikaona isiwe tabu. Nikamtimbia. Sikubeba cash.

Nafika nakuta kwenye meza yupo yeye, mdogoake wa kike na njemba Siijui. Nikajisikia vibaya ghafla. nikawaza inamaana kaniita mimi nilishwe bata na bwanaake!!!.. nikawapa hi. Halafu nikakaa kinyonge. Akaniambia niagize nnachotaka. Sikuagiza. Nadhani aligundua nimekua disappointed.

Haikupita hata dakika, nikamwambia nakuja, huku nanyanyuka kuondoka. nikachukua boda chap akanipele ATM nikavuta mpunga kama kilo mbili hivi. Moyoni najisemea kama yule mwamba ndo kaorganise mtoko, stumii senti yake. Nitaagiza vyangu na nitajilipia.

Nilikuja kucheki simu nikakuta kantext 'Just come back. I dont even know this guy. Katuvami tuu hapa'. lakini pamoja na i dont know this guy nilisema tuu ni lazima niwe na cash mfukoni aisee.
 
Advice for all mans out there, dont be beg to be respected, to be loved from woman.
If you feel unakosa hivyo vyote from person you desire well she is not yours. Walk away to preserve your dignity.

Man has only his confidence
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom