mkuu Sikonge mchina kaamua kutoka na design ya zeze, teh teh teh!
miaka inavyokwenda huenda wachina wakaongoza kwa design.
mkuu Kimweri umenichekesha sana, loh! hahahahahaah,
mkuu unajua ili uwe creative hasa kwenye hii field ya ku'design lazima usiwe na njaa, kama ni mtu wa tamaa lazima utoke na boksi fasta fasta, also muitikio wa cliants ni kuogopa gharama hivyo kutulazimu kuchomoka na design za maboksi.
hapa chini ni nyumba ya zumbe kimweri.
creativity kidogo imeonekana kwenye bunge letu japo architect ni mkenya.The biggest challenge ya watanzania ni kwamba wengi wetu hatuko creative. We just do things for money bila kujali how our work reflect on us. Ukiangalia hapa bongo maghorofa mengi ni mabox box tuu..yaani you dont see any creativeness! Its really sad. Ningewashauri vijana wanaosma hizi fani..you have to go over and above your lectures in classes. Seriously hapa bongo sijaona kazi ya archtect ambayo iko impressive..ukaona kwamba mtu alikaa chini akatumia zaidi ya ule uwezo wa darasani kukariri. I doubt hapa kwetu kama watu wanaangalia/consider vitu kama nature, climate among others..when they are designing!
Mfano angalia lile soko la Msimbazi..kila nikipita pale I wonder..who designed that THING...maana hata garage ya mchina ni nzuri!
Guys creativeness haihitaji pesa! Do your job! Akina masanja wakipata vijisenti vyao watakuja tuu.
duh! yaani jela za wenzetu ni nzuri kuliko maboksi yetu ya maofisi Bongo, loh!kwa jinsi jengo lilivyo naked,wakaona aibu kuweka cladding japo kwa mbele ya hizo glasses za uongo na kweli,its as if they run out of budget.disgusting.,
Landmarks zetu hazina tofauti na Jela za wenzetu
...........
hayo majengo hapo juu ni jela za marekani...,
duh! yaani jela za wenzetu ni nzuri kuliko maboksi yetu ya maofisi Bongo, loh!
ila wadau creativity bongo itaonekana kadri architects wengi wanavyo ongezeka kwenye soko.
Sina habari mkuu.nasikia alikufa kwa ajali, ni kweli?
mkuu kwa taarifa yako aliyegundua hiyo kitu ana akili kinoma, inaendana na hali ya hewa ya huko, mchana joto kali sana na usiku baridi kali sana,View attachment 84679
Mchoro wa wataalam wa kwetu Dodoma. Mtu unalala bila hata stress za kulipa umeme na maji, hapa unawaza kuingiliwa na nyoka tu na buibui basi.
mkuu kwa taarifa yako aliyegundua hiyo kitu ana akili kinoma, inaendana na hali ya hewa ya huko, mchana joto kali sana na usiku baridi kali sana,
kuna kitu kinaitwa TIME LAG nilisoma kwenye course moja ya Environment, kwamba hizo nyumba zinahifadhi hali ya joto usiku wakti kuna baridi kali na mchana ubaridi wakati kuna joto kali.
mkuu kwa taarifa yako aliyegundua hiyo kitu ana akili kinoma, inaendana na hali ya hewa ya huko, mchana joto kali sana na usiku baridi kali sana,
kuna kitu kinaitwa TIME LAG nilisoma kwenye course moja ya Environment, kwamba hizo nyumba zinahifadhi hali ya joto usiku wakti kuna baridi kali na mchana ubaridi wakati kuna joto kali.